Back

ⓘ Watu - Binadamu, Jamhuri ya Watu wa China, wazima, Waturkana, weusi, Wala watu wa Tsavo, Jamhuri ya Watu wa Zanzibar, wa Emirati, Jina, Chotara, Dereva, Mzungu ..
                                               

Binadamu

Binadamu ni neno lenye asili ya Kiarabu linalomaanisha "Mwana wa Adamu", anayeaminiwa na dini za Uyahudi, Ukristo na Uislamu kuwa ndiye mtu wa kwanza.

                                               

Jamhuri ya Watu wa China

China pia: Uchina, Sina ; kirefu: Jamhuri ya Watu wa China ni nchi kubwa ya Asia ya Mashariki ambayo ndiyo nchi yenye watu wengi kuliko zote duniani. China imepakana na Vietnam, Laos, Myanmar, India, Bhutan, Nepal, Pakistan, Afghanistan, Tajikistan, Kyrgyzstan, Kazakhstan, Urusi, Mongolia, Korea ya Kaskazini. Kuna pwani ndefu kwenye Bahari ya Kusini ya China na Bahari ya Mashariki ya China ambazo ni bahari ya kando ya Pasifiki. China kuna makabila 56 tofauti. Wahan ndio kabila kubwa zaidi nchini China kwa idadi ya watu ikiwa na asilimia 92. Lugha rasmi ni Kichina cha Mandarin kinachotumiwa ...

                                               

Watu wazima

Watu wazima Kibiolojia linaweza kumaanisha watu wale walio hai, hasa wakiwa na afya njema, tofauti na wafu na wagonjwa. Lakini kwa kawaida linatumika kutofautisha wale waliofikisha umri au kuwa na uwezo wa kuzaa na watoto. Kwa kwenda mbali zaidi, maneno hayo yanatofautisha waliokomaa kiutu na vijana pia ambao, ingawa wameshabalehe, hawana ukomavu ule unaohitajika kukabili majukumu yote katika jamii, hasa chini ya miaka 18. Kwa msingi huo, sheria zinawapangia haki na wajibu kadiri ya nchi. Kwa nchi kama Tanzania pengine utu uzima unahesabika kuanza miaka 40 Habari hii inatakiwa kuthibitishw ...

                                               

Waturkana

Waturkana ni watu wa jamii ya Waniloti wa Kenya, idadi yao ikiwa karibu 340.000. Ni wakazi wa Kaunti ya Turkana, kaskazini magharibi mwa Kenya, eneo kame na kavu linalopakana na Ziwa Turkana upande wa mashariki. Kusini kwao wanaishi Wapokot Wapökoot, Warendille na Wasamburu. Lugha ya Waturkana, lugha yenye asili ya Kiniloti cha Mashariki, hujulikana kama Kiturkana; jina lao kwa lugha hii ni Ngaturkwana. Waturkana wanajulikana kwa kufuga ngamia na kushona vikapu. Katika fasihi simulizi zao, hujiita watu wa fahali ya kijivu, kutokana na Zebu, ambaye ukuzaji wake una nafasi muhimu katika hist ...

                                               

Watu weusi

Watu weusi ni msamiati unaotumika mara nyingi kumaanisha watu kutoka Afrika kusini kwa Sahara au watu wenye asili kutoka hapa. Lakini si istilahi kamili kwa sababu kwanza kuna tofauti kubwa duniani ni watu gani wanaotazamwa kuwa "weusi" halafu kuna pia watu wenye rangi ya ngozi hiyo nyeusi kiasi au ya kahawia katika maeneo mbalimbali ya dunia, kuanzia India kusini kupitia Papua Guinea Mpya, Australia hadi Visiwa vya Melanesia "visiwa vya Watu Weusi" katika Bahari ya Pasifiki, ambao wote hawana uhusiano na Afrika zaidi ya binadamu wote. Halafu wako watu wengi wenye asili ya Afrika waliopele ...

                                               

Wala watu wa Tsavo

Wala-Watu wa Tsavo walikuwa Simba wawili waliojulikana sana kwa kuwala binadamu. Simba hawa walisababisha vifo vya idadi kubwa ya wajenzi wa Reli ya Kenya-Uganda, tangu Desemba, 1898.

                                               

Jamhuri ya Watu wa Zanzibar

Jamhuri ya Watu wa Zanzibar ni sehemu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ingawa inajitawala katika mambo ya ndani. Hadi mapinduzi ya Zanzibar ya mwaka 1964 nchi hiyo ilijulikana kama Usultani wa Zanzibar.

                                               

Watu wa Emirati

Watu wa Emirati ni raia na kundi la kikabila la United Arab Emirates. Waemirati wengi, pamoja na wale walio katika familia tawala ya Emirates ya Abu Dhabi na Dubai, kufuatilia asili yao hadi ukoo wa Bani Yas. Hata hivyo, watu nje ya ukoo wa Bani Yas kama Baluchis na wahamiaji kutoka eneo la Bastak la Iran na Bahrain, wamekuwa wakiingizwa polepole katika jamii ja Emirati. Idadi ndogo ya watu wa Asia ya Kusini, Afrika na kutoka jamii zingine imeoana na watu wa Emirati, na hivyo kuwa raia wa UAE wasiyo waemirati

                                               

Orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu

Hii ni orodha ya nchi za Afrika kulingana na idadi ya watu. Misri yote imejumuishwa, ingawa sehemu ya eneo la Misri inapatikana Asia. Saint Helena, ikiwa imekaribiana sana na Afrika, imejumuishwa pia.

                                               

Jina

Utamaduni, kwa njia ya sheria au desturi, ndio unaoratibu namna ya kupanga na kutumia majina ya watu, kwa kawaida tangu kuzaliwa. Mara nyingi, pamoja na jina binafsi, mtu anatumia pia majina mengine kama vile la ukoo mzima, au la baba na la babu. Katika nchi na makabila mbalimbali jina linaweza kubadilishwa, kwa mfano wakati wa ibada wa kuingizwa katika dini fulani, au kuongezewa, kwa mfano kutokana na ndoa. Mara nyingine jina linafupishwa, hasa kama ni refu mno, au linapambwa kama kwa kumbembeleza mwenye nalo.

                                               

Chotara

Chotara ni kiumbe hai ambacho kimetokana na makabila zaidi ya moja ya spishi yake. Kwa mfano, binadamu ambaye alizaliwa na baba Mzungu na mama Mwafrika anaitwa hivyo. Katika lugha mbalimbali kuna majina maalumu kwa aina za machotara: kwa mfano katika Kihispania kuna Mulato, zambo na mestizo ; katika Kireno kuna mulato, caboclo, cafuzo, ainoko na mestiço. Pengine sensa zinauliza asili ya wakazi, zikiacha nafasi ya kutaja asili zaidi ya moja.

                                               

Dereva

Dereva ni mtu ambaye anakiongoza chombo cha moto kwenda mahala fulani. Dereva huwaendesha abiria sehemu wanayotaka mpaka pale anapoishia yeye alipangiwa au alipopanga kuishia. Dereva anapokuwa barabarani huwa makini maana madereva wengi husababisha ajali na hatimaye vifo kwa sababu ndogo zisizoeleweka, halafu wakishasabisha ajali hukimbia kusikojulikana. Dereva naye hulipwa pale anapofanya kazi au hujilipa mwenyewe kwa kula na familia yake au kama hana familia hujihudumia kwa malazi, chakula n.k.

                                               

Matajiri wakuu duniani

Matajiri wakuu duniani kulingana na jarida la Forbes mnamo Aprili 2006, wanaongozwa na mwanzilishi wa kampuni ya Microsoft, Bill Gates. Bill Gates ametangaza kuwa atastaafu baada ya miaka miwili toka sasa ili kuchukua muda wake kuongoza Taasisi ya Bill na Melinda Gates. Mmarekani huyu, mwenye umri wa miaka hamsini 50 ana ameongoza orodha hii ya Forbes kwa miaka kumi iliyopita. Mwaka huu mali ya yake yamekadiriwa kuwa dola bilioni hamsini, kama ilivyo miaka yake. Kuna uwezekano kuwa utajiri huu utaongezeka katika miaka ya hivi karibuni kwa vile kampuni yake ya Microsoft inakua kwa kiwango k ...

                                               

Mzungu

Ni neno ambalo zaidi linalenga rangi ya mtu na kumtofautisha yule anayetajwa na Mwafrika, Mwarabu, Mhindi au Mchina. Si neno kamili sana kwa sababu watu wanaoitwa Wazungu wanaweza kutokea kila sehemu ya dunia; Wamarekani weupe huitwa Wazungu na pia makaburu kutoka Afrika Kusini, Wakenya weupe na pia Waaustralia. Vilevile mtu kutoka nchi za Ulaya ya Kusini kama Hispania au Ugiriki anaweza kusababisha wasiwasi kama yeye ni Mzungu au Mwarabu kwa sababu wengi wao hufanana na watu wa Afrika ya Kaskazini. Ikitumiwa kwa maana ya "watu wa Ulaya" inaeleweka kwa jumla isipokuwa siku hizi nchi za Ula ...

                                               

Natoli

Natoli ni jina la familia kadhaa zenye asili tofauti leo, lakini awali linatokana na Kifaransa de Nanteuil, tawi la DuPont, mabwana wa ngome de Nantouillet mjini Paris. Watu maarufu wa ukoo huo ni: Giuseppe Natoli 1815-1867, waziri wa Italia; Giovanni Natoli, Italia mtukufu wa XVII; Gioacchino Natoli 1940, Italia hakimu; Luigi Natoli 1857-1941, mwandishi wa Italia; San Antonio Natoli 1552-1618, Italia kidini Guido Natoli 1893-1966, mwanabenki wa Italia; Giacomo Natoli 1846-1896, mwanabenki na mwanasiasa wa Italia ; Vincenzo Natoli 1690-1770, hakimu nchini Italia. Aldo Natoli 1906-1971, mfa ...

                                               

Waslavi

Waslavi ni kundi kubwa la mataifa yanayotumia lugha za Kihindi-Kiulaya barani Ulaya. Pamoja na kuwa wenyeji wa nchi za Ulaya Mashariki, Ulaya ya Kati na Ulaya Kusini kuanzia karne ya 6 BK, tangu zamani wameenea Asia Kaskazini na Asia ya Kati. Nchi zao zinatawala zaidi ya 50% za bara la Ulaya.

                                     

ⓘ Watu

  • hufanana na watu wa Afrika ya Kaskazini. Ikitumiwa kwa maana ya watu wa Ulaya inaeleweka kwa jumla isipokuwa siku hizi nchi za Ulaya hujaa watu ambao wenyewe
  • Mtakatifu ni binadamu aliye hai au aliyekufa ambaye dini fulani au watu mbalimbali wanamheshimu kwa namna ya pekee kwa jinsi alivyoonekana kuwa karibu
  • hilo. Watu wengi husema kwamba elimu haina mwisho, wakimaanisha kuwa elimu inaweza kutolewa kwa watu wote bila kujali kama ni watoto, vijana, watu wazima
  • yanayohesabika. Ujuzi wa idadi ni muhimu katika fani nyingi, kwa mfano takwimu. Ndiyo sababu tangu zamani nchi nyingi zinapiga sensa ya watu ya wanyama n.k.
  • huchaguliwa kwa kura ya wananchi wote. Rais wa jamhuri ni Mokgweetsi Masisi. Watu wa Botswana hujiita Batswana kutokana na jina la kabila kubwa kabisa nchini
  • samaki. Mara nyingi kilimo cha mimea kinaenda sambamba na ufugaji wa wanyama. Watu hupanda mimea na kuitunza hadi mavuno hasa kwa uzalishaji wa chakula cha
  • Watakatifu wa Agano la Kale ni watu walioishi kabla ya Kristo ambao wanaheshimiwa na Wakristo wengi, na pengine na Waislamu n.k. Baadhi yao ni: Abeli Abrahamu
  • majadiliano kwa sababu watu wengi husikia karne mpya inaanza wakati tarakimu ya mbele waliyozoea muda mrefu inabadilika. Hivyo watu wengi walisheherekea
Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu
                                               

Orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu

Hii ni orodha ya nchi za Afrika kulingana na msongamano wa watu kwa kila km². Misri yote imejumuishwa, ingawa sehemu ya eneo la Misri inapatikana Asia. Saint Helena, ikiwa imekaribiana sana na Afrika, imejumuishwa pia.

                                               

Buchner

Buchner ni jina la kaka yake Hans Buchner 1850-1902, daktari Mjerumani Eduard Buchner 1860-1917, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia mwaka wa 1907 na Hans Buchner mwingine 1483-1538, mtungaji wa muziki Mjerumani

                                               

Dhothar

Dhothar ni jina la ukoo wa Jat. Akina Dhothar huishi katika Punjab, pande zote Pakistan na Uhindi. Akina Dhothar wa Pakistan ni Waislamu na wale wa Uhindi hufuata dini ya Kalasinga.

Users also searched:

...
...
...