Back

ⓘ Orodha - ya mapapa, ya makabila ya Kenya, ya milima, ya mito nchini Tanzania, ya Watakatifu wa Afrika, ya visiwa vya Uganda, ya departements za Ufaransa ..
                                               

Orodha ya mapapa

Orodha hii inataja Mapapa wote wa Kanisa Katoliki. Jina rasmi la cheo hicho kwa Kilatini ni Episcopus Romanus, maana yake Askofu wa Roma. Inawezekana kuwa Hermannus Contractus alikuwa mwanahistoria wa kwanza kuorodhesha Mapapa bila kuacha pengo. Orodha yake ilikwenda hadi mwaka wa 1049 ikimtaja Papa Leo IX kama Papa wa 154. Kulingana na hesabu hiyo, Papa wa sasa, Fransisko ni papa wa 268. Hakuna orodha rasmi ya mapapa, ila kitabu cha Annuario Pontificio kinachotolewa na Vatikano kila mwaka kina orodha inayoangaliwa kama rasmi. Kulingana na kitabu hicho, Fransisko ni papa wa 266.

                                               

Orodha ya makabila ya Kenya

Hii orodha ya makabila ya Kenya inatokana na orodha ya lugha za Kenya Ethnologue. Ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika eneo ambalo sasa linaitwa Kenya, pamoja na makabila yaliyogawiwa na mipaka baina ya Kenya na nchi za jirani. Orodha hii haizingatii makabila yanayoishi Kenya kama wakimbizi kutoka vita katika nchi za jirani, wala vikundi vya wahamiaji kutoka nchi za kigeni, kama wahamiaji au wazao wao kutoka Arabia, Uhindi au nchi nyinginezo.

                                               

Orodha ya milima

Milima yote iliyofika mita elfu nane juu ya usawa wa bahari iko katika safu ya Himalaya: Manaslu m 8.163, Nepal, Asia Shishapangma m 8.012, Tibet, Asia Kangchenjunga m 8.586, Nepal - India, Asia Annapurna m 8.091, Nepal, Asia Gasherbrum I m 8.080, Pakistan - Xinjiang, Uchina, Asia Makalu m 8.463, Nepal - Tibet, Asia Dhaulagiri m 8.167, Nepal, Asia Cho Oyu m 8.188, Nepal - Tibet, Asia Lhotse m 8.511, Nepal - Tibet, Asia Nanga Parbat m 8.125, Pakistan, Asia K2 m 8.611, Pakistan - Xinjiang, Uchina, Asia Everest m 8.848, Nepal - Tibet, Asia

                                               

Orodha ya mito nchini Tanzania

Orodha ya mito nchini Tanzania inaitaja zaidi ya 2.000, lakini hiyo ni baadhi tu. Imepangwa kwa taratibu mbalimbali kama ifuatavyo: kadiri ya alfabeti. kadiri inavyoelekeza maji yake katika Bahari ya Hindi mashariki mwa nchi ama moja kwa moja ama kwa kuchangia Mto Zambezi kupitia Ziwa Nyasa, lakini kuna pia mito michache inayochangia Bahari ya Kati kupitia Ziwa Viktoria na mto Naili, na mingine tena Bahari Atlantiki kupitia Ziwa Tanganyika, huku mingine inaishia katika mabonde nchini kama la Ziwa Rukwa; kadiri ya mikoa inapopatikana;

                                               

Orodha ya Watakatifu wa Afrika

Hii Orodha ya Watakatifu wa Afrika inataja watu wanaoheshimiwa na Kanisa Katoliki au madhehebu mengine yoyote ya Ukristo kama watakatifu ambao walizaliwa, waliishi au walifariki barani humo.

                                               

Orodha ya visiwa vya Uganda

Kisiwa cha Kaserwa Kisiwa cha Ziru Kalangala Kisiwa cha Namubega Kisiwa cha Bagwe Kisiwa cha Lujabwa Kisiwa cha Galo Kisiwa cha Lukiusa Kisiwa cha Ntokwe Kisiwa cha Buvu Kisiwa cha Baga Kisiwa cha Ngabo Kisiwa cha Ziro Kisiwa cha Kibibi Kusini Kisiwa cha Buiga Wakiso Kisiwa cha Batwala Kisiwa cha Kibibi Kaskazini Kisiwa cha Namite Kisiwa cha Dwasendwe Kisiwa cha Limaiba Kisiwa cha Mawe Kisiwa cha Kiwa Uganda Kisiwa cha Sege Kisiwa cha Kerenge Kisiwa cha Lwabana Kisiwa cha Bulanku Kisiwa cha Kuiye Kisiwa cha Bugaia Kisiwa cha Mpande Kisiwa cha Luserera Kisiwa cha Ziru Buvuma lat -0.09, long ...

                                               

Orodha ya departements za Ufaransa

Departement ni kitengo cha utawala nchini Ufaransa. Inalingana na ngazi ya wilaya. Departement inaongozwa na mkuu wake ambaye kwa lugha ya Kifaransa anaitwa prefect. Kwa jumla kuna wilaya 101 za aina hii. Hizi zimepangwa katika mikoa region 18. Kati yake, departement 96 tu ziko Ufaransa bara na kisiwa jirani cha Corsica, nyingine 5 ziko nje ya Ulaya ambako wakazi wa yaliyokuwa makoloni waliamua kubaki sehemu za Ufaransa na maeneo hayo kupewa hadhi ya departement, wakati huohuo ni pia mikoa. Hizi departments za ngambo ni: Guadeloupe na Martinique katika Karibi, Guayana katika Amerika Kusini ...

                                               

Orodha ya visiwa vya Tanzania

Visiwa vimepangwa kuanzia kaskazini kwenda kusini Visiwa upande wa kaskazini ya Tanga Kisiwa cha Gulio Mkinga, Tanga Kisiwa cha Gozini Mkinga, Tanga Kisiwa cha Kirui kwenye mpaka wa Kenya Karibu na Jiji la Tanga Kisiwa cha Karange Kusini ya Tanga mjini Kisiwa cha Yambe, pia Jambe Tanga mjini Kisiwa cha Toten Tanga mjini Kisiwa cha Mwambamwamba upande wa kaskazini wa Tanga mjini Kisiwa cha Ulenge pia Kisiwa cha Ndege, Bird Island - kaskazini ya Tanga mjini Kati ya Tanga na Dar es Salaam Kisiwa cha Kwale Tanga Kisiwa cha Maziwi inatazama Pangani Kisiwa cha Mshingwi inatazama Bagamoyo Kisiwa ...

                                               

Aina za udongo

Aina za udongo hutofautishwa kutokana na tabia za udongo na mahitaji ya binadamu katika kuutumia. Udongo ni mchanganyiko wa vipande vidogo vya mwamba na madini vilivyosagwa pamoja na mata ogania hasa kwenye tabaka la juu. Aina za udongo zinaweza kutofautishwa kutokana na tabia za kifizikia na tabia za kikemia. Ukubwa wa vipande ndani ya udongo ni muhimu, pia kiasi gani ni imara au la, halafu kemikali au kampaundi gani zinapatikana ndani yake. Tabia hizo zote zinasababisha tofauti kubwa katika matumizi ya udongo kama ardhi ya shamba, ardhi ya kujengewa kwa majengo au malighafi kwa vifaa vin ...

                                               

Orodha ya vitabu vya Biblia

Vitabu vya Biblia ya Kikristo vilivyoorodheshwa hapa chini ni vile 66 tu vinavyotambuliwa na Wakristo wote. Zingatia lakini kwamba walio wengi, hasa Wakatoliki, Waorthodoksi na Waorthodoksi wa Mashariki, katika Biblia wanavyoitumia wana vitabu vingine 7 vinavyoitwa Deuterokanoni, navyo vyote vimo katika Agano la Kale: Yoshua Bin Sira, Kitabu cha Hekima, Kitabu cha kwanza cha Wamakabayo, Kitabu cha pili cha Wamakabayo, Tobiti, Yudithi, Baruku. Majina ya vitabu yameandikwa hapa kufuatana na tafsiri ya Kiswahili cha kisasa maarufu kama Habari Njema. Kama kuna jina lingine limeongezeka katika ...

                                               

Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani

Chama cha Mpira wa Kikapu Marekani ni chama cha kitaifa cha timu za mpira wa kikapu zinazocheza katika ligi kuu huko Amerika ya Kaskazini ikijumuisha timu 29 toka Marekani na timu 1 toka Kanada. Ni moja ya ligi kubwa za kulipwa za mpira wa kikapu nchini Marekani na Kanada na ni ligi kubwa kabisa ya mpira wa kikapu duniani. Ligi hii ilianzishwa huko New York City Juni 6, 1946, ikiitwa Chama cha Mpira wa Kikapu Amerika BAA. Ilichukua jina lake la sasa Agosti 3, 1949 baada ya kuungana na mshindani wake Ligi ya Kitaifa ya Mpira wa Kikapu National Basketball League NBL. Msimu wa ligi hii huanza ...

                                               

Orodha ya nasaba za Kichina

Orodha hii inataja nasaba za kifalme za Kichina na vipindi vinginevyo katika historia ya Uchina. Nasaba ya Tang kuanzia 618 hadi 907 Uvamizi wa Hsiung-nu kuanzia 304 hadi 439 Nasaba ya Sui kuanzia 581 hadi 618 Nasaba ya Han 202 KK hadi mwaka wa 220 Nasaba ya Wei kuanzia 386 hadi 534 Wakati wa San-Guo au "Falme Tatu" kuanzia 220 hadi 280 Nasaba ya Dong Jin kuanzia 317 hadi 420 Nasaba ya Chou 1046 KK hadi 256 KK Nasaba ya Xia 2070 KK- 1600 KK Nasaba ya Chin 221 KK hadi 207 KK Nasaba ya Ching kuanzia 1636 hadi 1912 Nasaba ya Sung kuanzia 960 hadi 1279 Nasaba ya Hsi Chin kuanzia 266 hadi 316 N ...

                                               

Kaunti za Kenya

Kaunti za Kenya ni maeneo ya kiutawala ya Kenya tangu kuadhimishwa kwa katiba ya mwaka 2010. Katiba hiyo inaeleza kuwepo kwa kaunti 47 nchini katika mafungu 191 na 192, pamoja na County Governments Act of 2012”. Kaunti hizi zilichukua nafasi za Mikoa ya Kenya. Mipaka ya kaunti iliwekwa kulingana na mipaka ya wilaya za kenya zilizokuwa zimeanzishwa kisheria mwaka wa 1992. Mipaka ya kaunti hizo ni pia msingi wa maeneo ya uchaguzi wa mwakilishi mwanamke wa kaunti, seneta na gavana.

                                               

Orodha ya masoko ya hisa barani Afrika

Hii ni Orodha ya masoko ya ubadilishanaji hisa barani Afrika. Wanachama wa Shirika la Masoko ya Hisa ya Afrika ASEA wameonyeshwa kwa alama ya asteriski *. Afrika ina angalau Soko moja la hisa la kanda, lile la Bourse Régionale des Valeurs Mobilières, au BRVM, lililoko mjini Abidjan, Ivory Coast. BRVM inatumiwa nchi za Benin, Burkina Faso, Guinea-Bissau, Ivory Coast, Mali, Niger, Senegal na Togo. Soko la hisa la zamani zaidi katika bara ni Soko la Hisa la Casablanca la Moroko lililoanzishwa mwaka wa 1929, na pia ndilo la pili kwa ukubwa Afrika baada ya Soko la Hisa la Johannesburg.

                                               

Mbuga za Taifa la Tanzania

Mbuga za Taifa za Tanzania ni nyingi tena mbalimbali, zikishika karibu theluthi moja ya eneo lote la nchi hiyo ya Afrika Mashariki. Zinagawanyika kati ya: Hifadhi za Taifa, Hifadhi Teule, Mapori ya Akiba. Hifadhi ya Mawindo na

                                               

Orodha ya Hifadhi za Taifa nchini Kenya

Hifadhi ya Taifa ya Aberdare Hifadhi ya Taifa ya Ol Donyo Sabuk Hifadhi ya Taifa ya Saiwa Swamp Hifadhi ya Taifa ya Hells Gate Hifadhi ya Taifa ya Mombasa Hifadhi ya Taifa ya Southern Island Hifadhi ya Taifa ya Ziwa Nakuru Hifadhi ya Taifa ya Mlima Elgon Hifadhi ya Taifa ya Central Island Hifadhi ya Taifa ya Ruma Hifadhi ya Taifa ya Sibiloi Hifadhi ya Taifa ya Chyulu Hills Hifadhi ya Taifa ya Watamu Hifadhi ya Taifa ya Masai Mara Hifadhi ya Taifa ya Mlima Longonot Hifadhi ya Taifa ya Arabuko Sokoke Hifadhi ya Taifa ya Amboseli Hifadhi ya Taifa ya Malka Mari Hifadhi ya Taifa ya Tsavo Maghar ...

                                               

Orodha ya jenasi za Orchidaceae

Hii ni orodha ya jenasi za mimea ya familia ya okidi kama ilivyoandikwa mwanzo na L. Watson na M. J. Dallwitz, waandishi wa The Families of Flowering Plants. Orodha hii inaweza kubadilika kutokana na matokeo ya tafiti za kijenetiki.

                                               

Orodha ya magazeti nchini Pakistan

Ifuatayo ni orodha ya magazeti nchini Pakistan. Pamoja na Kiurdu kama lugha ya taifa na Kiingereza kama lugha ya ofisi, magazeti mengi huzingatia demografia hiyo. Hata hivyo, magazeti ya mikoa pia hudumisha mzunguko wa kutosha kwa lugha ya Kisindhi. Magazeti yafuatayo katika koze ndizo huwa na mzunguko mkubwa.

                                               

Orodha ya makampuni ya Kenya

Teita Sisal Estate Supamaketi za Uchumi Supermarkets East African Breweries Rea Vipingo Voi Sisal Estate Kampuni ya Sukari ya Mumias Sugar Unga Group Sasini Tea & Coffee Del Monte Kenya Kenya Agricultural Commodity Exchange Nakumatt

                                               

Orodha ya Miaka

2100 - 2099 - 2098 - 2097 - 2096 - 2095 - 2094 - 2093 - 2092 - 2091 2090 - 2089 - 2088 - 2087 - 2086 - 2085 - 2084 - 2083 - 2082 - 2081 2080 - 2079 - 2078 - 2077 - 2076 - 2075 - 2074 - 2073 - 2072 - 2071 2070 - 2069 - 2068 - 2067 - 2066 - 2065 - 2064 - 2063 - 2062 - 2061 2060 - 2059 - 2058 - 2057 - 2056 - 2055 - 2054 - 2053 - 2052 - 2051 2050 - 2049 - 2048 - 2047 - 2046 - 2045 - 2044 - 2043 - 2042 - 2041 2040 - 2039 - 2038 - 2037 - 2036 - 2035 - 2034 - 2033 - 2032 - 2031 2030 - 2029 - 2028 - 2027 - 2026 - 2025 - 2024 - 2023 - 2022 - 2021 2020 - 2019 - 2018 - 2017 - 2016 - 2015 - 2014 - 201 ...

                                               

Orodha ya migogoro barani Afrika

Orodha ya migogoro barani Afrika si kamilifu, ikiwa ni pamoja na: Vita vya kupigania uhuru vya mataifa ya Afrika Migogoro ya kujitenga katika Afrika Vita vya wenyewe kwa wenyewe ndani ya mataifa ya Afrika Vita vya ukoloni katika Afrika Vita kati ya mataifa ya Afrika Matokeo makuu ya vurugu katika mataifa ya Afrika

                                               

Orodha ya nyimbo zilizotayarishwa na Jimmy Jam na Terry Lewis

"Addicted To You ya Utada Hikaru "Aquarium" ya Tiana Xiao "Against All Odds Take a Look At Me Now" ya Mariah Carey "Again" ya Janet Jackson "Affair" ya Cherrelle "Anatomy 10n1" ya Mýa "Any Time, Any Place" ya Janet Jackson "Anything" ya Janet Jackson "Angel" ya Chaka Khan "Are You Still Up" ya Janet Jackson "All Around the World" ya Boyz II Men "All for You" ya Janet Jackson "All Turned Out" ya Klymaxx "A Broken Heart Can Mend" ya Alexander ONeal "Already Alright" ya Yolanda Adams "Alwaysness" ya Yolanda Adams "All True Man" ya Alexander ONeal "A Cute, Sweet Love Addiction" ya Johnny Gill ...

                                               

Orodha ya vita

Orodha ya vita kati ya mwaka 1990-2002 Orodha ya vita kati ya mwaka 1900-1944 Orodha ya vita kati ya mwaka 1945-1989 Orodha ya vita kabla ya mwaka 1000 Orodha ya vita kati ya mwaka 1800-1899 Orodha ya vita kati ya mwaka 1000-1499 Orodha ya vita kati ya mwaka 1500-1799 Orodha ya vita kati ya mwaka 2003-sasa Orodha ya migogoro inayoendelea

                                               

Orodha ya vyama vya kisiasa nchini Kenya

Orodha ya vyama vya kisiasa nchini Kenya inatokana na nchi hiyo kufuata mfumo wa vyama vingi. Kenya ilikuwa na vyama vya kisiasa vilivyosajiliwa zaidi ya 160 kufikia mwezi Novemba mwaka wa 2007 lakini kufuatia kupitishwa kwa sheria maalum ya vyama vya siasa tarehe 31 Desemba 2008, idadi ya vyama vilivyoandikishwa ilipungua hadi 38 huku vyama kadhaa vikiongezewa muda wa kujilinganisha na sheria hii mpya.

                                     

ⓘ Orodha

  • Orodha hii inataja Mapapa wote wa Kanisa Katoliki. Jina rasmi la cheo hicho kwa Kilatini ni Episcopus Romanus, maana yake Askofu wa Roma. Inawezekana kuwa
  • Hii orodha ya makabila ya Kenya inatokana na orodha ya lugha za Kenya Ethnologue. Ni orodha ya makabila ya watu ambao wamekuwa wanaishi tangu zamani katika
  • Orodha ya milima duniani inataja baadhi tu. Milima yote iliyofika mita elfu nane juu ya usawa wa bahari iko katika safu ya Himalaya: Everest m 8, 848
  • Orodha ya viwanja vya ndege katika Tanzania. Airports in Tanzania
  • Orodha ya mito nchini Tanzania inaitaja zaidi ya 2, 000, lakini hiyo ni baadhi tu. Imepangwa kwa taratibu mbalimbali kama ifuatavyo: kadiri inavyoelekeza
  • Hii Orodha ya Watakatifu wa Afrika inataja watu wanaoheshimiwa na Kanisa Katoliki au madhehebu mengine yoyote ya Ukristo kama watakatifu ambao walizaliwa
  • Orodha ya visiwa vya Uganda inavitaja vingi, lakini pengine si vyote. Kisiwa cha Anyi Kisiwa cha Utsene Kisiwa cha Baga Kisiwa cha Bagwe Kisiwa cha Banda
  • Orodha hii inataja makaisari wa Dola la Roma kuanzia Kaizari Augusto hadi mwisho wa Dola la Roma Magharibi mwaka wa 476. Baada ya Dola la Roma Magharibi
  • Hii ni orodha ya visiwa vya Tanzania. Kisiwa cha Chabalewa Kisiwa cha Kwankoro Kisiwa cha Mubari Kisiwa cha Nyakaseke Kisiwa cha Lundo Kisiwa cha
Orodha ya Makaizari wa Roma
                                               

Orodha ya Makaizari wa Roma

Orodha hii inataja makaisari wa Dola la Roma kuanzia Kaizari Augusto hadi mwisho wa Dola la Roma Magharibi mwaka wa 476. Baada ya Dola la Roma Magharibi kukomeshwa, sehemu za Italia zilitawaliwa na wafalme wa mataifa mengine.

Orodha ya Makardinali
                                               

Orodha ya Makardinali

Orodha ya makardinali wa Kanisa Katoliki huonyesha makardinali wote ambao walikuwepo tarehe 24 Novemba 2007. Papa ana haki ya kumteua kardinali bila ya kutangaza jina lake. Uteuzi huu huitwa "in pectore" kilatini "moyoni". Hii inaweza kutokea hasa kama ni kardinali kutoka nchi pasipo uhuru wa kidini au nchi ambayo haina uhusiano mzuri na kanisa katoliki. Tarehe hii hakuwepo yeyote wa namna hiyo. Majina yamepangwa kufuatana na bara na nchi.

                                               

Orodha ya benki

Orodha ya benki barani Australia na Pasifiki Orodha ya benki barani Amerika Orodha ya benki barani Asia Orodha ya benki barani Ulaya Orodha ya benki barani Afrika

                                               

Orodha ya Mashirika ya Ndege Duniani

LAI - Linea Aerea IAACA Santa Barbara Airlines Linea Turistica Aerotuy Avensa LASER Aeropostal Alas de Venezuela Vensecar Internacional Sol America Aserca Airlines Rutaca Venezolana Servivensa Conviasa Avior Airlines Sundance Air Venezuela Aero Ejecutivos

Orodha ya balozi nchini Kenya
                                               

Orodha ya balozi nchini Kenya

Hii ni orodha ya balozi nchini Kenya. Kwa sasa kuna balozi/misheni za kidiplomasia 84 jijini Nairobi, na konsulati mbili jijini Mombasa. Konsulati zisizo rasmi hazijaorodheshwa hapo chini:

Orodha ya makampuni ya Tanzania
                                               

Orodha ya makampuni ya Tanzania

Tanzania Electric Supply Company Limited TANESCO Tanseed International Ltd Tanzania Railways Corporation Tanzania China Friendship Textile Company Tanzania Telecommunications Company Limited Tanzanian and Italian Petroleum Refining Company Limited

Orodha ya Urithi wa Dunia katika hatari
                                               

Orodha ya Urithi wa Dunia katika hatari

Orodha ya Urithi wa Dunia katika hatari inaorodhesha mahali palipoandikishwa katika orodha ya Urithi wa Dunia ya UNESCO na baadaye kuonekana ziko hatarini kuharibika. Sababu zinazotajwa kama "hatari" ni pamoja na ujenzi, vita au mapigano, usimamizi mbaya au mabadiliko ya kisheria yanayoondoa hali ya ulinzi wa sehemu hizi. Sababu nyingine zinaweza kuwa za kiasili kutokana na mabadiliko ya kijiolojia, kama vile tetemeko la ardhi, tabianchi au mazingira.

Users also searched:

uhakiki wa riwaya ya takadini, uhakiki wa tamthiliya ya orodha,

...
...
...