Back

ⓘ Sheria - ya kimataifa, Mkusanyo wa Sheria za Kanisa, Kumbukumbu la Sheria, Ripoti za Sheria ya Kenya, za Kanisa, za soka, Imani na sheria, Adhabu, Amri, Chama ..
                                               

Sheria ya kimataifa

Sheria ya kimataifa inaweza kuashiria mambo matatu: sheria ya umma ya kimataifa, sheria ya kibinafsi ya kimataifa au mgongano wa sheria na sheria ya mashirika makubwa ya kimataifa, kama vile sheria ya Umoja wa Ulaya. Sheria ya Umma ya Kimataifa inajihusisha na uhusiano kati ya mataifa huru. Vyanzo vya maendeleo ya sheria ya umma ya kimataifa ni desturi, mwenendo na mikataba kati ya nchi huru Mikataba ya Geneva. Sheria ya umma ya kimataifa inaweza kutengezwa na mashirika ya kimataifa, kama vile Umoja wa Mataifa ambao ulianzishwa baada ya Shirikisho la Kimataifa kushindwa kuzuia Vita Vikuu v ...

                                               

Mkusanyo wa Sheria za Kanisa

Mkusanyo wa Sheria za Kanisa ni kitabu ambamo zimekusanywa kwa mpango sheria kuu za Kanisa Katoliki zinazohusu waamini wake wa mapokeo ya Kilatini. Kwa lugha asili ya Kilatini unaitwa Codex Iuris Canonici.

                                               

Kumbukumbu la Sheria

Kumbukumbu la Sheria ni kitabu cha tano katika Tanakh na cha Agano la Kale katika Biblia ya Kikristo. Kama vitabu vingine vyote vya Biblia, hiki pia kinatakiwa kisomwe katika mfululizo wa historia ya wokovu ili kukielewa kadiri ya maendeleo ya ufunuo wa Mungu kwa binadamu.

                                               

Ripoti za Sheria ya Kenya

Ripoti za Sheria ya Kenya ni ripoti rasmi za sheria katika Jamhuri ya Kenya ambazo zinaweza kutajwa kesini katika mahakama ya Kenya. Hurejelewa hivi: KLR. Ushauri wa uzinduzi wa Baraza la Taifa Sheria la ripoti za Sheria ulitokana na haja ya kuunganisha pengo kati ya kuripoti sheria na kushirikisha kuripoti sheria katika muundo wa serikali ya Kenya. Baraza hilo liliundwa na kuzinduliwa rasmi tarehe 20 Mei 1996 chini ya Mhe. Bw Jaji Majid Cockar, na kisha Jaji mkuu. Baada ya uzinduzi huu, Baraza hili lilikuwa na mikutano kadhaa na kutayarisha bajeti lakini ilisitisha shughuli zake kutokana ...

                                               

Sheria za Kanisa

Sheria za Kanisa ni taratibu zilizokubaliwa na mamlaka ya Kanisa katika kuendesha shughuli zake za ndani na za nje. Awali sheria za namna hiyo zilitolewa na Mitume wa Yesu, halafu na waandamizi wao, hasa maaskofu waliokusanyika katika mitaguso na sinodi mbalimbali Umuhimu wa sheria hizo ni tofauti kadiri ya madhehebu husika. Katika karne ya 20 Kanisa Katoliki, maarufu kwa kutia maanani umoja na utaratibu, limekusanya sheria zake muhimu zaidi katika vitabu viwili vya Kilatini: kimoja kwa Kanisa la Kilatini Codex Iuris Canonici, kingine kwa Makanisa Katoliki ya Mashariki Codex Canonum Eccles ...

                                               

Sheria za soka

Sheria za soka ni kanuni zilizoundwa maalumu ili kusimamia masuala yote yanayohusu mchezo wa soka. Sheria inaelezea idadi ya wachezaji kila timu inapaswa kuwa nao, urefu wa mchezo, kipimo cha uwanja na mpira, asili na aina za faulu refa anazoweza kutoa adhabu, sheria yenye utata kuliko zote ya kuotea na sheria nyingine kadhaa. Wakati wote wa mchezo, ni jukumu la refa kufafanua na kutekeleza kwa jinsi sheria inavyoelekeza. Katikati ya karne ya 19, kulifanyika jaribio ya kugeuza sheria kuwa za ishara zaidi. Sheria hizi zina historia ya kuanzia mwaka 1863 ambapo kifungu cha sheria kiliundwa n ...

                                     

ⓘ Sheria

  • ya kwanza ya Babeli. Anajulikana hasa kwa mkusanyo wa sheria za Hammurabi ambazo ni kati ya sheria za kwanza za dunia zilizoandikwa. Hammurabi alirithi
  • Tume ya sheria ya kimataifa International Law Commission kifupi ILC ni taasisi ya Umoja wa Mataifa UM Ilianzishwa mwaka 1947 na Mkutano Mkuu wa UM
  • fulani. Fani mbalimbali huwa na maelezo tofauti kiasi juu ya maana ya dola: sheria hufundisha dola kuwa mamlaka ya jamii ya taifa ina tabia tatu za kimsingi
  • kati ya ofisi zake na pia kwa matangazo rasmi, kwa mfano kwa kutangaza sheria Ni pia lugha ya kuendesha kesi mahakamani na kuandika hukumu. Kuna nchi
  • mara hivyo kwa ahadi, kwa mfano ile inayotolewa na mzazi kwa mtoto wake. Sheria zinazoshinikiza utelezaji wa ahadi zinatofautiana kadiri ya nchi, desturi
  • Bunge ni chombo cha kutunga sheria na pia ni mmoja wa mihimili mitatu inayounda mfumo wa utawala kulingana na mgawanyo wa madaraka katika dola. Mihimili
  • pekee kwa kuwa alifahamu vitu vingi kwa mfano: sheria hata kuwazidi walimu wa sheria japokuwa hakusomea sheria Alifanya pia maajabu mengi. Ndiyo maana leo
  • ibada zake ilikuwa Kilatini. Kanisa hilo lote upande wa sheria linafuata Mkusanyo wa sheria za Kanisa, kumbe upande wa liturujia wengi wa waamini wake
  • inayothibitisha haki juu ya sehemu ya ardhi au kiwanja. Umbo la hati hutegemea sheria za nchi mbalimbali. O Connor, E. Rory 1987 The Irish Notary. Dublin:
  • iliweza kukubali kutawaliwa na mwanamke. Nchi mbalimbali zilibadilisha sheria zao walipoona ya kwamba mfalme alikosa watoto wa kiume ilhali viongozi waliogopa
                                               

Imani na sheria

Imani ni kukubaliana na kitu fulani hata kama si cha kuonekana. Kila mtu ana imani yake inayomuongoza katika maisha. Sheria ni kanuni zinazotungwa na jopo fulani la watu. Katika maisha sheria husaidia sana, hasa katika kuhakikisha kuwa usalama na amani zinakuwepo. Hapo zamani katika historia ya Kanisa sheria ilitumika hasa katika kuwaleta waliopotea katika ulimwengu wa roho. Lakini imani imekuwa mbele zaidi ya sheria Gal 3:10.

                                               

Wizara ya Sheria na Katiba

Wizara ya Sheria na Katiba ni wizara ya serikali nchini Tanzania. Ofisi kuu ya wizara hii zipo mjini Dar es Salaam.

Adhabu
                                               

Adhabu

Adhabu ni malipizi ambayo mtu hupewa kutokana na kosa alilofanya kwa makusudi au kwa bahati mbaya. Kadhalika kuna adhabu za aina nyingi, kama vile adhabu kubwa na adhabu ndogo. Katika nchi kadhaa kuna hata adhabu ya kifo.

Amri
                                               

Amri

Amri ni agizo au katazo linalotolewa na mamlaka yoyote kwa watu walio chini yake kwa namna moja au nyingine. Katika Biblia ni maarufu Amri Kumi za Mungu.

Chama
                                               

Chama

Chama ni kundi la watu wanaoungana kwa kusudi la kushirikiana ili kufikia lengo fulani, ambalo linaweza kuwa la aina nyingi tofauti, kwa mfano: dini, elimu, siasa, sanaa, michezo n.k. Idadi ya wanachama inaweza kuwa tofauti sana, kuanzia wachache hadi milioni kadhaa. Kwa kawaida chama kina uongozi wake unaopatikana kwa kufuata taratibu maalumu.

                                               

Chansela (kiongozi)

Chansela, pia kansela, ni cheo cha mkuu wa serikali, lakini si mkuu wa dola, katika Ujerumani na Austria. Kinafanana na cheo cha waziri mkuu.

                                               

Chifu

Chifu ni kiongozi wa jadi katika kabila fulani. Uongozi huo ulijitokeza mwishoni mwa zama za mawe na kutawala zama za chuma, mara nyingi ukisaidiwa na halmashauri ya wazee. Wakati wa ukoloni, uongozi huo uliweza kukubalika, mradi uwe chini ya himaya ya wakoloni. Hata baada ya uhuru, machifu wanaweza kuwa na madaraka fulani, k.mf. nchini Uganda.

                                               

Dhamana

Dhamana ni kitu chochote ambacho mtu anaweka au kuwekewa ili kukomboa kitu fulani au kupata huduma fulani. Dhamana inaweza kuwa pesa, gari, nyumba na hata chochote kile. Dhamana ipo katika pande nyingi, kwa mfano katika mahakama ili mshtakiwa aachiliwe kwa muda.

                                               

Hakimiliki ya mandharinyuma, mandharimbele, mandharikando na mandhariposti

Hakimiliki ya mandharinyuma, mandharimbele, mandharikando na mandhariposti ni aina nne za rasilimali ya hakimiliki kutokana na uvumbuzi.

                                               

Halmashauri

Halmashauri ni kikundi cha watu ambao wamechaguliwa au kuteuliwa wafanye kazi ya kuongoza, kutawala, kutunga sheria, kushauri na kuelekeza mambo. Pia ni chombo cha kiutawala chenye mamlaka kiasi fulani kuendesha shughuli za kiutawala za eneo husika kama vile wilaya au mji.

Users also searched:

katiba ya tanzania, sheria za tanzania pdf,

...
...
...