Back

ⓘ Karpati au Milima ya Karpati ni safu ya milima yenye urefu wa km 1.000 katika Ulaya ya Kati na ya Mashariki, ya pili barani baada ya Milima ya Skandinavia. Safu ..
Karpati
                                     

ⓘ Karpati

Karpati au Milima ya Karpati ni safu ya milima yenye urefu wa km 1.000 katika Ulaya ya Kati na ya Mashariki, ya pili barani baada ya Milima ya Skandinavia.

Safu hiyo ina umbo la upinde unaoanzia Ucheki 3% kupita Slovakia 17%, Poland 10%, Hungaria 4% na Ukraine 11%, hadi Romania 51%. Milima mirefu zaidi inaitwa Tatra, mpakani kwa Slovakia na Poland, ambapo vilele vinazidi mita 2.600 juu ya usawa wa bahari.

                                     

1. Viungo vya nje

Karpati travel guide kutoka Wikisafiri

 • Pgi.gov.pl: Oil and Gas Fields in the Carpathians
 • Carpati.org: Romanian mountain guide
 • Carpathianconvention.org: The Framework Convention for the Protection and Sustainable Development of the Carpathians
 • Video: Beautiful mountains Carpathians, Ukraine
 • Alpinet.org: Romanian mountain guide
 • Orographic map highlighting Carpathian mountains
 • Encyclopedia of Ukraine, vol. 1 - Carpathian Mountains, by Volodymyr Kubijovyč 1984.
                                     
 • Hii Orodha ya milima ya Karpati inataja baadhi yake tu. Gerlachovský štít m 2, 655 - kilele cha juu kabisa katika milima ya Tatra Slovakia Vârful Moldoveanu
 • Kékes ni milima ya Karpati Ulaya katika nchi ya Hungaria. Urefu wake ni mita 1, 014 juu ya usawa wa bahari. Orodha ya milima Orodha ya milima ya Ulaya
 • Hoverla ni milima ya Karpati Ulaya katika nchi ya Ukraina. Urefu wake ni mita 2, 061 juu ya usawa wa bahari. Orodha ya milima Orodha ya milima ya Ulaya
 • Gerlachovský štít ni milima ya Karpati Ulaya katika nchi ya Slovakia. Urefu wake ni mita 2, 655 juu ya usawa wa bahari. Orodha ya milima Orodha ya milima
 • Vârful Moldoveanu ni mlima wa Karpati Ulaya katika nchi ya Romania. Urefu wake ni mita 2, 544 juu ya usawa wa bahari. Hivyo unazidi milima yote ya Romania

Users also searched:

...
...
...