Back

ⓘ Kaisarea Baharini ulikuwa mji wa Palestina kuanzia mwaka 10 KK hadi 1265 BK. Kwa sasa ni sehemu ya Hifadhi ya Taifa la Israeli katika bonde la Sharon. Ulianzish ..
Kaisarea Baharini
                                     

ⓘ Kaisarea Baharini

Kaisarea Baharini ulikuwa mji wa Palestina kuanzia mwaka 10 KK hadi 1265 BK.

Kwa sasa ni sehemu ya Hifadhi ya Taifa la Israeli katika bonde la Sharon.

Ulianzishwa na mfalme Herode Mkuu ukawa makao ya liwali wa Dola la Roma aliyetawala Palestina.

Baadaye ukawa kituo muhimu cha Ukristo, ambapo Mtume Petro alibatiza akida Korneli na familia yake Mdo 10:1-11:18.

Ndipo alipoishi Filipo mwinjilisti Mdo 8:40 ambaye alimkaribisha Mtume Paulo kwa siku kadhaa Mdo 21:8-10 katika moja ya nafasi yake ya kupitia mjini huko Mdo 9:30; 18:22.

Baadaye Paulo alikaa gerezani huko kwa zaidi ya miaka miwili akisubiri kuhukumiwa, mpaka alipokata rufaa kwa Kaisari Nero 23:23; 15:1-13.

                                     

1. Marejeo

 • 2002 The Greek and Latin Inscriptions of Caesarea Maritima. University of Michigan. ISBN 0897570286.
 • 1996 Caesarea Maritima: a retrospective after two millennia. Leiden: Brill. ISBN 90-04-10378-3.
 • Macalister, R. A. Stewart 1911. "Caesarea Palaestina". Encyclopædia Britannica. 4 11th ed. p. 943.
 • Joseph Patrich, "Caesarea in the Time of Eusebius" in S. Inowlocki, C. Zemagni eds., Reconsidering Eusebius: Collected papers on literary, historical, and theological issues 2011, 1–24.
                                     

2. Viungo vya nje

 • Photo gallery of Caesarea Maritima
 • PBS Frontline – Caesarea Maritima
 • Gavriel Solomon, Caesarea National Park: Conservation Maintenance, Israel Antiquities Authority Site - Conservation Department
 • Jewish Encyclopedia: Cæsarea by the Sea
 • Archaeology of Caesarea
                                     
 • mchango wa Wakristo wa kimataifa kwa wenzao maskini wa Kiyahudi. Huko Kaisarea Baharini alipanda na Paulo meli ya kwenda Myra, Lycia na kutoka huko hadi Roma
 • kumuua Paulo lililoishia katika miaka zaidi ya 4 ya kifungo kati ya Kaisarea Baharini na Roma 58 - 63 Baada ya kurudishiwa uhuru, Paulo alimuandikia Timotheo
 • huadhimishwa tarehe 9 Aprili au 2 Aprili pamoja na ndugu yake Apiani wa Kaisarea Watakatifu wa Agano la Kale Orodha ya Watakatifu Wakristo Orodha ya Watakatifu
 • kujiunga na monasteri alijisikia hamu ya kufia dini yake mpya akaenda Kaisarea Baharini aliposhambulia makuhani wa Uzoroasta, dini yake ya zamani. Walimtesa
 • kuwa askofu wa Yerusalemu na kuwekwa wakfu na Akasio, askofu mkuu wa Kaisarea Baharini Alipewa daraja takatifu hiyo kwa sababu alidhaniwa kuelekea uzushi

Users also searched:

...
...
...