Back

ⓘ Kamusi sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia. KSBFK ni kifupi cha Kamusi sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia iliyoandaliwa na wataalamu wa TUKI wa Chuo Kikuu ch ..
                                     

ⓘ Kamusi sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia

KSBFK ni kifupi cha Kamusi sanifu ya Biolojia, Fizikia na Kemia iliyoandaliwa na wataalamu wa TUKI wa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam mwaka 1990 chini ya uhariri mkuu wa David P.B. Massamba.

Kamusi hii inakusanya maneno ya kisayansi kwa utaratibu ufuatao:

  • maelezo yake kwa Kiswahili
  • neno la Kiingereza

Mwishowe kuna jedwali la elementi ya kikemia.

Kamusi hii ilichapishwa upya mwaka 2004 na mwaka 2012.

Si rahisi kuipata katika maduka ya vitabu lakini inapatikana katika duka la TATAKI jinsi TUKI inaitwa siku hizi. Mada inafana kiasi na ile ya kamusi Awali wa Sayansi na Teknolojia KAST lakini wala istilahi wala tahajia hazilingani sawa.

                                     
  • ya mizoga. Kuna pia mimea michache ambayo inapata chakula kwa kuwinda wadudu. Mwinda ni msamiati wa Kiswahili wa Kamusi sanifu ya Biolojia Fizikia na
  • Sanifu ya Kompyuta KSK Taasisi ya Taaluma za Kiswahili, toleo la kwanza 2011, ISBN 978 9987 531 12 7 Kamusi Sanifu ya Biolojia Fizikia na Kemia English - Swahili
  • gandunia. Kamusi ya KAST 1995 hutumia gamba na ganda kandokando kwa sehemu ya nje ya dunia utando wa dunia ni pendekezo la Kamusi Sanifu ya Biolojia Fizikia
  • seli. Kamusi Sanifu ya Biolojia Fizikia na Kemia iliyotolewa na TUKI inaandika asidi kiinidioksiribo Inapendekezwa kutumia - deoksi - badala ya - dioksi

Users also searched:

...
...
...