Back

ⓘ Kerubi ni kati ya viumbe visivyoonekana wanaotajwa na Biblia. Ndiyo sababu wakaja kujumlishwa kati ya malaika, ingawa Agano la Kale halisemi hivi wazi. Asili ya ..
Kerubi
                                     

ⓘ Kerubi

Kerubi ni kati ya viumbe visivyoonekana wanaotajwa na Biblia. Ndiyo sababu wakaja kujumlishwa kati ya malaika, ingawa Agano la Kale halisemi hivi wazi.

Asili yake ni katika visasili vya historia ya awali, hasa vya Mesopotamia.

Ingawa Amri kumi za Mungu kwa Musa zimekataza sanamu Kut 20, kurasa chache mbele Kut 25 Mungu alimuagiza azitengeneze mbili za makerubi na kuziunganisha na kifuniko cha sanduku la Agano ambamo hizo amri zilitunzwa. Pia sura zao zipatikane katika mapazia ya kandokando.

                                     

1. Marejeo

  • R. Gilboa, "Cherubim: An Inquiry into an Enigma", Biblische Notizen, 82, 1996, 59–75. The article looks at the yet unknown nature of the Temples Cherubim, through linguistic investigation, fauna probabilities and artistic presentations in the ancient Biblical period.
  • Yaniv, Bracha, "The Cherubim on Torah Ark Valances", Jewish Art Department, Bar-Ilan University, published in Assaph: Studies in Art History, Vol. 4, 1999.
                                     
  • bustani ya Eden Katika 3: 24 imeandikwa kwamba baada ya dhambi ya asili kerubi analinda njia inayofikia mti wa uzima. Kitabu cha Mithali kinatumia jina
  • Mt. Makari wa Misri na Kerubi kutoka Monasteri ya Mt. Katerina, Sinai, Sinai, Misri.
  • Mt. Makari Mkuu akisimama karibu na Kerubi

Users also searched:

...
...
...