Back

ⓘ Jang Bogo, jina lake la utotoni aliitwa Gungbok, alikuwa mtu kutoka ufalme wa Silla ambaye alikuja kuwa maarufu na muhimu sana katika Silla ya baadaye, wakati a ..
                                     

ⓘ Jang Bogo

Jang Bogo, jina lake la utotoni aliitwa Gungbok, alikuwa mtu kutoka ufalme wa Silla ambaye alikuja kuwa maarufu na muhimu sana katika Silla ya baadaye, wakati ambapo Korea ilikuwa nchi yenye nguvu sana, hasa upande wa shughuli za kijeshi za majini ambaye aliiratibu vizuri mno bahari inayoitwa Yellow Sea, mashariki mwa nchi hiyo, na alitawala shughuli za biashara kati ya Silla, Heian Japan, na Tang China kwa miongo kadhaa.

Makundi ya meli zake za kustaajabisha zilikuwa katika kisiwa cha Wando kisiwa kilichokuwa kusini mwa jimbo la Jeolla South Jeolla Province.Kadiri alivyozidi kuvuta hisia za watu na kukonga nyoyo zao, Jang Bogo alipewa ofisi na kuwa Kamishina wa shughuli zilizohusha bahari Kamishina wa majini katika makao makuu ya kijeshi iliyokuwa katika kisiwa cha Wando kusini mwa jimbo la Jeolla.Baadaye alimuozesha binti yake katika familia ya kifalme kabla hajauliwa mnamo mwaka 846 B.K.

Users also searched:

...
...
...