Back

ⓘ Kidugala ni jina la kata ya Wilaya ya Wangingombe katika Mkoa wa Njombe, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4. ..
                                     
ⓘ Kidugala

Kidugala ni jina la kata ya Wilaya ya Wangingombe katika Mkoa wa Njombe, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 4.838 walioishi humo. Msimbo wa posta ni 59312.

Wakazi wa Kidugala ni Wabena.

1. Mwanzo wa misioni ya Kiluteri

Katika karne ya 19 kulikuwa hapa na makao makuu ya Mwene Ngele au Ngera. Huyu alikaribisha Wamisionari wa Shirika la Misioni ya Kiluteri ya Berlin walioanzisha hapa kituo chao kwenye mwaka 1898. Kutoka hapa Kidugala iliendelea kuwa kitovu cha misioni ya Kiluteri katika Ubena. Mwaka 1904 Wamisionari walianzisha shule kwa ajili ya wainjilisti iliyoendelea kuwa chuo cha Biblia baadaye. Kanisa lilijengwa 1908, karahana ya kuchapa vitabu 1910. Mwaka 1911 hospitali ya misioni ilikamilika. 1914 ushirika wa kiluteri ulikuwa na Wakristo 114 na Wakatekumeni 71.

2. Marejeo

 • Thorsten Altena: "Ein Häuflein Christen mitten in der Heidenwelt des dunklen Erdteils". Zum Selbst- und Fremdverständnis protestantischer Missionare im kolonialen Afrika 1884-1918 = Internationale Hochschulschriften; Bd. 395, Münster: Waxmann 2003, 531 S., 12 Abb., 1 CD-Rom, ISBN 3-8309-1199-8
                                     
 • Wanging ombe - Tanzania Igima Igosi Igwachanya Ilembula Imalinyi Kidugala Kijombe Kipengele Luduga Makoga Mdandu Saja Uhambule Ulembwe
 • Igima Igosi Ilembula Imalinyi Kidugala Kijombe Kipengele Luduga Makoga Mdandu Saja Uhambule Ulembwe Usuka Wangama Wanging ombe
 • Wanging ombe - Tanzania Igima Igosi Igwachanya Ilembula Imalinyi Kidugala Kijombe Kipengele Luduga Makoga Mdandu Saja Uhambule Ulembwe
 • Wanging ombe - Tanzania Igima Igosi Igwachanya Ilembula Imalinyi Kidugala Kijombe Kipengele Luduga Makoga Mdandu Saja Uhambule Ulembwe
 • Wanging ombe - Tanzania Igima Igosi Igwachanya Ilembula Imalinyi Kidugala Kijombe Kipengele Luduga Makoga Mdandu Saja Uhambule Ulembwe
 • Wanging ombe - Tanzania Igima Igosi Igwachanya Ilembula Imalinyi Kidugala Kijombe Kipengele Luduga Makoga Mdandu Saja Uhambule Ulembwe
 • Wanging ombe - Tanzania Igima Igosi Igwachanya Ilembula Imalinyi Kidugala Kijombe Kipengele Luduga Makoga Mdandu Saja Uhambule Ulembwe
 • Wanging ombe - Tanzania Igima Igosi Igwachanya Ilembula Imalinyi Kidugala Kijombe Kipengele Luduga Makoga Mdandu Saja Uhambule Ulembwe
 • Wanging ombe - Tanzania Igima Igosi Igwachanya Ilembula Imalinyi Kidugala Kijombe Kipengele Luduga Makoga Mdandu Saja Uhambule Ulembwe
 • Wanging ombe - Tanzania Igima Igosi Igwachanya Ilembula Imalinyi Kidugala Kijombe Kipengele Luduga Makoga Mdandu Saja Uhambule Ulembwe
 • Wanging ombe - Tanzania Igima Igosi Igwachanya Ilembula Imalinyi Kidugala Kijombe Kipengele Luduga Makoga Mdandu Saja Uhambule Ulembwe

Users also searched:

acsee 2020 results, maktaba tetea acsee,

...
...
...