Back

ⓘ Khoikhoi ni wakazi asili wa Kusini mwa Afrika pamoja na Wasan, ambao kwa jumla wanaitwa Khoisan. Tofauti kati yao ni hasa utamaduni, kwa maana Wasan wanaendelea ..
Khoikhoi
                                     

ⓘ Khoikhoi

Khoikhoi ni wakazi asili wa Kusini mwa Afrika pamoja na Wasan, ambao kwa jumla wanaitwa Khoisan.

Tofauti kati yao ni hasa utamaduni, kwa maana Wasan wanaendelea kwa kiasi kikubwa kuishi kwa uwindaji, wakati Khoikhoi toka muda mrefu wanategemea ufugaji na kilimo.

Kadiri ya akiolojia walifikia eneo la Cape Town miaka 2.000 iliyopita wakitokea kaskazini Botswana ya leo.

Kuanzia karne ya 3 BK walifikiwa na wavamizi wa Kibantu waliojitwalia maeneo mazuri zaidi.

                                     

1. Marejeo

 • L. Schultze, Aus Namaland und Kalahari Jena, 1907;
 • A. Sparman, Voyage to the Cape of Good Hope Perth, 1786;
 • G. W. Stow, Native Races of South Africa New York, 1905;
 • Richard Elphick, Khoikhoi and the Founding of White South Africa London, 1977
 • A. R. Colquhoun, Africander Land New York, 1906;
 • P. Kolben, Present State of the Cape of Good Hope London, 1731–38;
 • Sir John Barrow, Travels into the Interior of South Africa London, 1801;
 • Meinhof, Carl, Die Sprachen der Hamiten Hamburg, 1912;
 • Bleek, Wilhelm, Reynard the Fox in South Africa; or Hottentot Fables and Tales London, 1864;
 • Emil Holub, Seven Years in South Africa ;
                                     

2. Viungo vya nje

 • An article on the history of the Khoikhoi Archived Aprili 4, 2005 at the Wayback Machine.
 • The Khoekhoe People of Southern Africa
 • Cultural Contact in Southern Africa by Anne Good for the Women in World History website
                                     
 • Wakaguru. Kondoa kuna Warangi na pia Wasandawe wanaotumia lugha ya aina ya Khoikhoi Babu zao wamewahi kukaa eneo la Tanzania kabla ya kuingia kwa Wabantu

Users also searched:

...
...
...