Back

ⓘ Kapernaumu ilikuwa kijiji cha uvuvi upande wa kaskazini wa Ziwa Galilaya kilichoanzishwa wakati wa ufalme wa ukoo wa Wahasmonei. Kilikuwa na wakazi 1.500 hivi n ..
Kapernaumu
                                     

ⓘ Kapernaumu

Kapernaumu ilikuwa kijiji cha uvuvi upande wa kaskazini wa Ziwa Galilaya kilichoanzishwa wakati wa ufalme wa ukoo wa Wahasmonei.

Kilikuwa na wakazi 1.500 hivi na masinagogi mawili. Nyumba iliyogeuzwa kuwa kanisa inasemekana ilikuwa ya Mtume Petro.

Kijiji kiliachwa mahame katika karne ya 11 BK. This includes the re-establishment of the village during the Early Islamic period soon after the 749 earthquake.

                                     

1. Katika Injili

Kapernaumu inatajwa na Injili zote nne. Inaonekana ilikuwa makao makuu Math 4:12–17 ya kundi la Yesu lililozungukazunguka hasa katika mkoa wa Galilaya.

Huko Yesu alitoa mafundisho mengi na kufanya miujiza mingi; lakini kwa kutotubu ilipokea hukumu yake Math 11:23.

                                     

2. Marejeo

 • James F. Strange and Hershel Shanks, "Has the House Where Jesus Stayed in Capernaum Been Found?," Biblical Archaeology Review 8, 6 Nov./Dec., 1982, 26–37. Critique of the domus-ecclesia claims.
 • Jerome Murphy-OConnor, Oxford Archaeological Guides: The Holy Land Oxford, 1998, 217–220. ASIN 0192880136.
 • Tzaferis, Vassilios. Excavations at Capernaum, 1978–1982. Winona Lake, Indiana: Eisenbrauns, 1989. ISBN 0-931464-48-X. Overview publication of the dig on the eastern portion of the site.
 • Loffreda, Stanislao. Recovering Capharnaum. Jerusalem: Edizioni Custodia Terra Santa, 1984. ASIN B0007BOTZY. Non-technical English summary of the excavations on the western Franciscan portion of the site.
 • Sean Freyne, "A Galilean Messiah?," Studia Theologica 55 2001, 198–218. Contains an analysis of the singled-out 1st-century AD house as a courtyard rather than a room or house.
 • Loffreda, Stanislao. Cafarnao. Vol. II. La Ceramica. Jerusalem: Franciscan Printing Press, 1974. Technical publication in original Italian of the western site.
                                     

3. Viungo vya nje

 • Article by Dr. Zeev Goldmann
 • Images of Capernaum
 • Capernaum – information from the Israeli government
 • Capharnaum – The town of Jesus – Franciscan Cyberspot
 • Capernaum – Sacred Destinations includes 38 photos
 • Strongs G2584
                                     
 • mwanamke mwenye kutokwa damu mfululizo Uponyaji wa mtu aliyepooza huko Kapernaumu Uponyaji huko Genesareti Kristo akiponya vipofu wawili Mtoto mwenye pepo
 • katika Yoh 6: 22 - 59 ambamo imeandikwa kuwa ilitolewa katika sinagogi la Kapernaumu Pamoja na kwamba Injili hiyo haisimulii jinsi Yesu alivyowaachia wanafunzi
 • atapata ondoleo la dhambi. Arusi ya Kana Mazinguo katika Sinagogi la Kapernaumu Wito wa Mathayo kadiri ya Vittore Carpaccio, 1502 Wanafunzi wa kwanza

Users also searched:

...
...
...