Back

ⓘ Katerina wa Aleksandria alikuwa bikira Mkristo wa Aleksandria, Misri ambaye aliuawa kwa amri ya kaisari Maxentius mwanzoni mwa karne ya 4. Kadiri ya mapokeo, al ..
Katerina wa Aleksandria
                                     

ⓘ Katerina wa Aleksandria

Katerina wa Aleksandria alikuwa bikira Mkristo wa Aleksandria, Misri ambaye aliuawa kwa amri ya kaisari Maxentius mwanzoni mwa karne ya 4.

Kadiri ya mapokeo, alikuwa wa ukoo maarufu tena msomi. Kisha kuongokea Ukristo akiwa na umri wa miaka 14, aliongoza watu mia kadhaa kumfuata katika dini hiyo.

Tangu alipofia dini anaheshimiwa na Wakristo wa madhehebu mbalimbali kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Novemba au 25 Novemba.

                                     

1. Marejeo

 • Walsh, Christine. The Cult of St Katherine of Alexandria in Early Medieval Europe, Ashgate 2007
 • Allen, Prudence, The concept of woman: the Aristotelian revolution, 750 BC-AD 1250, 1997 2nd edn., Wm. B. Eerdmans Publishing, ISBN 978-0-8028-4270-1
                                     

2. Viungo vya nje

 • Representations of Saint Catherine
 • Passio sanctae Katharinae - 11th century between 1033–1048; at Latin Wikisource
 • Colonnade Statue St Peters Square
 • St. Catherine of Alexandria at the Christian Iconography web site
 • Details of Saint Catherines life Archived Februari 25, 2008 at the Wayback Machine. - Saint Catherine Orthodox Church; includes a gallery of icons of the saint
 • "The Life of St. Catherine, Virgin and Martyr" from the Caxton translation of the Golden Legend
 • St Catherines church in Muhu island Estonia Archived Septemba 7, 2015 at the Wayback Machine.
                                     
 • rais wa Malawi 1966 - 1994 Wakristo wengi, wakifuata mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Katerina wa Aleksandria Merkuri wa Kaisarea
 • Kaskazini Kastuli, Modesti, Rogato, Zotiko na wenzao 40 au 50, Misri Katerina wa Aleksandria Misri Kato, Jermana, Geronsi, Januari, Julius, Paulo, Pia, Saturnini
 • walitangazwa mababu wa Kanisa wanne muhimu zaidi upande wa Ukristo wa Mashariki: Atanasi wa Aleksandria Basili Mkuu, Gregori wa Nazienzi na Yohane Krisostomo
 • watakatifu Watoto wa Bethlehemu, lakini pia kumbukumbu za watakatifu Theonas wa Aleksandria Antoni wa Lerins, Gaspare Del Bufalo, Katerina Volpicelli n.k
 • Monasteri ya Mt. Katerina wa Aleksandria juu ya Mlima Sinai, mwanzo wa karne ya 6.

Users also searched:

...