Back

ⓘ Jina takatifu la Maria ni kumbukumbu ya hiari katika kalenda ya liturujia ya Kanisa la Kilatini. Huadhimishwa tarehe 12 Septemba kila mwaka ili kuhimiza Wakrist ..
Jina takatifu la Maria
                                     

ⓘ Jina takatifu la Maria

Jina takatifu la Maria ni kumbukumbu ya hiari katika kalenda ya liturujia ya Kanisa la Kilatini. Huadhimishwa tarehe 12 Septemba kila mwaka ili kuhimiza Wakristo kumsifu Bikira Maria na kumuitia katika shida yoyote.

                                     

1. Historia ya adhimisho

Adhimisho liliingizwa na Papa Innocent XI mwaka 1684, kufuatana na ushindi wa Wakristo dhidi ya Waturuki Waislamu katika Mapigano ya Vienna 1683.

Baada ya Mtaguso wa pili wa Vatikano iliondolewa, lakini ilirudishwa tena na Papa Yohane Paulo II mwaka 2002, pamoja na kumbukumbu ya Jina takatifu la Yesu.

                                     
  • Mwana wa Daudi ni jina la heshima la wanaume waliotokana na vizazi vya mfalme Daudi na hivyo kuhusishwa na ahadi alilopewa na nabii Nathani kwamba ukoo
  • pia jina la litania fupi ambayo inaanzia na maneno hayo na kutumika wakati wa Misa padri anapomega hostie takatifu na kuchanganya kipande na umbo la divai
  • si kanisa, lakini ulizia Kanisa Katoliki. Kwa kuwa hilo jina ni la pekee kwa Kanisa takatifu mama yetu sote, ambaye ni bibi arusi wa Bwana wetu Yesu
  • inayokiri Kanisa la kweli kutambulishwa na sifa nne, ya tatu ikiwa kwamba ni katoliki: Tunasadiki Kanisa moja, takatifu katoliki, la Mitume Kanisa
  • hadi kimo cha mita 2, 599. Kwa muda mrefu nchi ilikuwa sehemu ya Dola Takatifu la Kiroma ingawa chini ya utawala wa kikabaila. Dola hilo liliposambaratishwa
  • hata ya watakatifu wake, hasa Bikira Maria Baadhi ya sherehe hazina tarehe maalumu, bali zinategemea adhimisho la Pasaka, ambalo katika Ukristo wa magharibi
  • msichana mmoja aitwaye Maria mchumba wa mtu mmoja jina lake Yosefu, wa ukoo wa Daudi. 28 Malaika akamwendea, akamwambia, Salamu Maria Umejaliwa neema nyingi
  • kikiongea dhidi ya Matengenezo lilikataza tena uenezaji wake katika Dola Takatifu la Kiroma mpaka Mtaguso mkuu utakaporudisha utaratibu ndani ya Kanisa. Lakini
  • yeyote aliyemzaa mtoto wa kiume. Siku hiyo aliletwa na Yosefu na Maria katika hekalu la Yerusalemu akiwa mtoto wa kiume wa kwanza akakombolewa kwa sadaka

Users also searched:

...
...
...