Back

ⓘ Kikanisa cha Sisto IV ni kikanisa kikubwa nchini Vatikani, ambayo ndiko anakoishi Papa wa Kanisa Katoliki lote duniani. Kikanisa hicho kilijengwa miaka 1473-148 ..
Kikanisa cha Sisto IV
                                     

ⓘ Kikanisa cha Sisto IV

Kikanisa cha Sisto IV ni kikanisa kikubwa nchini Vatikani, ambayo ndiko anakoishi Papa wa Kanisa Katoliki lote duniani.

Kikanisa hicho kilijengwa miaka 1473-1481 na Giovanni dei Dolci kwa ajili ya Papa Sisto IV.

Kikanisa hicho kinatumika mara chache kwa ibada muhimu sana, na hasa kwa uchaguzi wa Papa mpya unaofanywa na makardinali wote wasiozidi umri wa miaka 80.

Kwa kawaida zaidi ni mahali pa utalii kutokana na sanaa zilizochorwa kutani na darini hasa na Michelangelo, mchoraji wa Renaissance miaka 1505-1541.

                                     

1. Tanbihi

  • Massimo Giacometti, editor, The Sistine Chapel, Harmony Books, ISBN 0-517-56274-X
  • Gabriel Bartz and Eberhard Konig, Michelangelo, Konemann, ISBN 3-8290-0253-X
                                     
  • Moshi mweusi kutoka Kikanisa cha Sisto IV ni ishara ya kwamba Papa mpya hajachaguliwa.

Users also searched:

...
...
...