Back

ⓘ Iliriko ni jina la zamani la eneo la Ulaya Kusini Mashariki lililokaliwa na makabila ya Wailiria. Dola la Roma liliteka eneo hilo mwaka 168 KK na kulifanya mkoa ..
Iliriko
                                     

ⓘ Iliriko

Iliriko ni jina la zamani la eneo la Ulaya Kusini Mashariki lililokaliwa na makabila ya Wailiria.

Dola la Roma liliteka eneo hilo mwaka 168 KK na kulifanya mkoa wake hadi mwaka 10.

Mtume Paulo alieneza uinjilishaji wake hadi huko.

Wakati wa Napoleon Bonaparte kwa miaka michache 1809-1813 jina lilitumika kwa mkoa wa Dola la Ufaransa, halafu kulikuwa na Ufalme wa Iliriko chini ya Dola la Austria 1816-1849.

Siku hizi eneo hilo limegawanyika kati ya nchi mbalimbali, hasa Albania, Montenegro, Bosnia-Herzegovina, Serbia, Croatia na Slovenia.

                                     
  • Ursicino wa Iliriko aliuawa Iliriko leo nchini Korasya, 304 alifia Ukristo katika dhuluma ya kaisari Diokletian. Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu
  • huadhimisha kumbukumbu za watakatifu Maksimiliano Maria Kolbe, Ursichini wa Iliriko Marselo wa Apamea, Eusebi wa Roma, Arnulfi wa Soissons, Wafiadini wa Otranto
  • na Dola la Roma na kufanywa sehemu ya majimbo ya Dalmatia, Masedonia na Iliriko Mwaka 1190 ndani ya Dola la Roma Mashariki ulitokea ufalme mdogo wa Arbër
  • akaelekea Makedonia na Ugiriki. Toka huko alipata nafasi ya kuhubiri katika Iliriko yaani kuanzia Albania ya leo kwenda kaskazini Rom 15: 19 Wakati huo
  • na Dola la Roma na kufanywa sehemu ya majimbo ya Dalmatia, Masedonia na Iliriko Mwaka 1190 ndani ya Dola la Roma Mashariki ulitokea ufalme mdogo wa Arbër
  • Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Urbani wa Jerba Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ursichini wa Iliriko Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ursino wa Bourges Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Urso
  • akaelekea Makedonia na Ugiriki. Toka huko alipata nafasi ya kuhubiri huko Iliriko yaani Albania ya leo kwenda kaskazini Rom 15: 19 Wakati huo alipata

Users also searched:

...
...
...