Back

ⓘ Kanaani ni jina la zamani la eneo la Mashariki ya Kati ambalo siku hizi limegawanyika katika nchi za Israeli na Palestina, Lebanoni na sehemu za Magharibi za Jo ..
Kanaani
                                     

ⓘ Kanaani

Kanaani ni jina la zamani la eneo la Mashariki ya Kati ambalo siku hizi limegawanyika katika nchi za Israeli na Palestina, Lebanoni na sehemu za Magharibi za Jordan na Sirya.

Katika Biblia jina hilo kwa Kiebrania כנען, knaʿn linatumika zaidi kumaanisha sehemu ile tu ambayo ilitekwa na Waisraeli na kuitwa Israeli. Sehemu hiyohiyo baadaye tena ilikuja kuitwa pia Palestina, yaani nchi ya Wafilisti.

Baada ya mataifa hayo mawili kuteka sehemu kubwa upande wa Kusini kuanzia karne ya 13 KK, ile ya Kaskazini zaidi iliyobaki chini ya wakazi asili ilikuja kuitwa pia Foinike.

Katika eneo hilo kati ya Mesopotamia na Misri kuanzia milenia ya 4 KK ulistawi ustaarabu muhimu wa Kisemiti ambao, kati ya michango mingine, ni asili ya alfabeti.

Habari nyingi kuhusu ustaarabu huu zimejulikana hasa kwa njia ya akiolojia.

                                     

1. Marejeo

 • 1978 Stories from Ancient Canaan. Westminster Press. ISBN 0-8061-3108-X.
 • 2002 Yahweh and the gods and goddesses of Canaan. Continuum. ISBN 9780826468307.
 • 1991 The Canaanites and their land: the tradition of the Canaanites. Continuum. ISBN 9780567451118.
 • 1996 "Towards a new periodization and nomenclature of the archaeology of the southern Levant", The study of the ancient Near East in the twenty-first century. Eisenbrauns. ISBN 9780931464966.
 • 1998 Canaanites. University of Oklahoma Press. ISBN 0-8061-3108-X.
 • 2005 Biblical peoples and ethnicity. SBL. ISBN 9781589830974.
 • 2001 Canaan and Israel in antiquity: an introduction. Continuum. ISBN 9781841273181.
 • 2009 Ancient Canaan and Israel: An Introduction. Oxford University Press. ISBN 9780195379853.
 • 2002 The early history of God. Eerdmans.
 • 2005 Canaan in the 2nd millennium B.C.E. Eisenbrauns. ISBN 9781575061139.
 • 2011 Biblical History and Israels Past: The Changing Study of the Bible and History. Eerdmans. ISBN 9780802862600.
                                     

2. Viungo vya nje

 • Catholic Encyclopedia.
 • Canaan & Ancient Israel, University of Pennsylvania Museum of Archaeology and Anthropology. Explores their identities in pre-historical times through the material remains that they have left behind.
 • When Canaanites and Philistines Ruled Ashkelon Archived Mei 19, 2011 at the Wayback Machine. Biblical Archaeology Society
 • Antiquities of the Jews by Flavius Josephus.
                                     
 • cha Ramesses Mkuu. 1210 KK hivi: Yoshua anawaongoza Waisraeli kuvamia Kanaani 1207 KK: Farao Merneptah anadai kushinda taifa la Israeli. 1200 KK hivi:
 • anafaulu kufukuza wavamizi wa Misri waliotokea baharini. Wafilisti wanavamia Kanaani Mwanzo wa uongozi wa Waamuzi katika Israeli. 1160 KK - 1121 KK: Nabii mwanamke
 • iliyozungumzwa kati ya 1100 KK hadi takriban 600 BK katika maeneo ya pwani la Kanaani na Shamu ya magharibi ambako leo hii kuna nchi za Israeli, Lebanoni na
 • Manase alizaliwa nchini Misri kabla Yakobo Israeli na wanae hawajahamia huko kutoka Kanaani Mwa 48: 5 Wikimedia Commons ina media kuhusu: Manase babu
 • Efraimu alizaliwa nchini Misri kabla Yakobo Israeli na wanae hawajahamia huko kutoka Kanaani Mwa 48: 5 Wikimedia Commons ina media kuhusu: Efraimu babu
 • kitabu iliwasaidia watu kuandaa jeshi kwa kuteka nchi ya Kanaani Ingawa safari ya kwenda Kanaani ingeweza kuchukua majuma machache tu, kwa kweli ilichukua
 • walipoteka nchi ya Kanaani na nchi hiyo ilivyogawiwa kati ya makabila yake 12. Tangu wakati wa Ibrahimu, Mungu alikuwa ameahidi kwamba Kanaani ingekuwa mali
 • pia: bahari ya Galilaya Waisraeli walipotoka Misri na kuteka nchi ya Kanaani katika mkoa huo walihamia watu wa makabila ya Dan, Zebuluni, Isakari na
 • mke wake wa kwanza. Sehemu ya magombano kwa Shekemu, mtoto wa kiume wa Kanaani au Viongozi wa Wahivi, ilifuatana na kisasi kutoka kwa kaka zake Dina Simeoni

Users also searched:

...
...
...