Back

ⓘ Jungle Brothers. The Jungle Brothers ni jina la kutaja kundi la muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Hawa hutazamiwa kama waazilishi wa hip hop yenye mchan ..
Jungle Brothers
                                     

ⓘ Jungle Brothers

The Jungle Brothers ni jina la kutaja kundi la muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Hawa hutazamiwa kama waazilishi wa hip hop yenye mchanganyiko wa jazz na kuwa kama kundi la kwanza la hip hop kutumia muziki wa house katika hali ya hip-hop na kumtumia mtayarishaji wa muziki huo katika kazi zao. Kundi lilianza kutumbuiza katikati mwa miaka ya 1980 na wakafanikiwa kutoa albamu yao ya kwanza, Straight Out the Jungle, mnamo mwezi wa Julai 1988. Kwa mtindo wa kutengeneza biti na mashairi yenye asili ya Kiafrika, kina Jungle Brothers wakawa maarufu mno na punde wakaungana na kundi lenye athira kubwa katika hip hop la Native Tongues. Wanachama wa awali unaunganishwa na Michael Small, Nathaniel Hall na Sammy Burwell. Sammy B aliondoka kundini baada ya kundi kutoa Raw Deluxe in Mei 1997.

                                     

1. Diskografia

 • This is. Greatest hits 2005, Nurture Records/Groove
 • All That We Do 2002, Jungle Brothers
 • Done by the Forces of Nature 1989, Warner Bros.
 • You in My Hut Now 2003, XYZ
 • Raw Deluxe 1997, Gee Street/V2/BMG Records
 • I Got You 2006, Pinoeer Records
 • Straight out the Jungle 1988, Warlock
 • J Beez Wit the Remedy 1993, Warner Bros.
 • V.I.P. 2000, Gee Street/V2/BMG Records
                                     
 • Kundi lilikuwa na uhusiano na Native Tongues, ambamo wakiwa pamoja na Jungle Brothers A Tribe Called Quest, na De La Soul. Baada ya kuwa pamoja kunako 1989
 • First, vilevile kwenye kibao cha Adeva Ring My Bell, na kwa kina Jungle Brothers Doin Our Own Dang, na kibao kikali cha kina De La Soul Buddy.
 • Comprehend 4: 13 De La Orgee Interlude 1: 11 Buddy with Jungle Brothers and Q - Tip 4: 56 Description Interlude 1: 24 Me Myself and I
 • Ame Wameshirikiana na Prince Paul, A Tribe Called Quest, Mos Def, Jungle Brothers Queen Latifah, Monie Love, Black Sheep, Gorillaz, dan le sac vs Scroobius
 • mkamahairi yalitungwa na Sherman Brothers ambaye awali alitunga muziki wa filamu za kifamilia kama vile Mary Poppins, The Jungle Book, na Chitty Chitty Bang
 • Music, Def Jam Ame Wameshirikiana na A Tribe Called Quest, De La Soul, Jungle Brothers Queen Latifah, Busta Rhymes, Mobb Deep, Beastie Boys, Mary J. Blige

Users also searched:

...
...
...