Back

ⓘ Dominiko Ibáñez de Erquicia. Dominiko Ibanyez de Erquicia, O.P. ni mmojawapo kati ya Wakristo waliofia dini nchini Japani. Alikwenda huko kama padri mmisionari ..
Dominiko Ibáñez de Erquicia
                                     

ⓘ Dominiko Ibáñez de Erquicia

Dominiko Ibanyez de Erquicia, O.P. ni mmojawapo kati ya Wakristo waliofia dini nchini Japani.

Alikwenda huko kama padri mmisionari kutoka Hispania.

Anaheshimiwa kama mtakatifu pamoja na Lorenzo Ruiz na wenzao waliotangazwa na Papa Yohane Paulo II kuwa wenye heri tarehe 18 Februari 1981 halafu watakatifu tarehe 18 Oktoba 1987.

Sikukuu yao huadhimishwa tarehe 28 Septemba, lakini ya kwake mwenyewe tarehe ya kifodini chake.

                                     

1. Marejeo

  • Lorenzo de Manila, The Proto-Martyr of The Philippines and his Companions - Fr. Fidel Villarroel, O.P., 1988
  • Alvares, Constantino; Jose Garcia, Pedro Tejero 1989. Witnesses of the faith in the Orient: Dominican Martyrs of Japan, China, and Vietnam. Manila: Life Today Publications. ISBN 971-8596-03-8. OCLC 32442371.
                                     
  • inahusu mwaka 1589 BK Baada ya Kristo bila tarehe Mtakatifu Dominiko Ibáñez de Erquicia padri kutoka Hispania na mfiadini nchini Japani 4 Aprili - Mtakatifu
  • Go - Komyo, mfalme mkuu wa Japani 1643 - 1654 13 Agosti - Mtakatifu Dominiko Ibáñez de Erquicia padri kutoka Hispania na mfiadini nchini Japani 17 Agosti
  • Watakatifu 814 Wafiadini wa Otranto Italia 1633 - Mtakatifu Dominiko Ibáñez de Erquicia O.P., padri kutoka Hispania na mfiadini nchini Japani 1941
  • wanaheshimiwa kama wafiadini wa Japani 1633 1637 Antonio Gonzalez Dominiko Ibáñez de Erquicia Yakobo Kyushei Tomonaga Fransisko Shoyemon Jordano Ansalone Lazaro

Users also searched:

...