Back

ⓘ Kikinga ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakinga. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikinga imehesabiwa kuwa watu 140.000. Kufuatana na ua ..
                                     

ⓘ Kikinga

Kikinga ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakinga. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kikinga imehesabiwa kuwa watu 140.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikinga iko katika kundi la G60.

                                     

1. Viungo vya nje

 • makala za OLAC kuhusu Kikinga
 • lugha ya Kikinga kwenye Multitree
 • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
 • lugha ya Kikinga katika Glottolog
 • tovuti hiyo ina msamiati wa Kikinga
                                     

2. Marejeo

 • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

 • Wolff, L. R. 1905. Grammatik der Kinga-Sprache Deutsch-Ostafrika, Nyassagebiet. Archiv für das Studium der deutschen Kolonialsprachen, Bd 3. Berlin: Verlag von Dietrich Reimer. Kurasa viii, 243.
 • Schadeberg, Thilo C. 1971. Zur Lautstruktur des Kinga Tanzania. Tasnifu. Chuo Kikuu cha Marburg. Kurasa 189.
                                     
 • wa Malcolm Guthrie Kimagoma iko katika kundi la G60. Inafanana hasa na Kikinga lugha ya Kimagoma kwenye Multitree makala za OLAC kuhusu Kimagoma lugha
 • Kijita Kikabwa Kikachchi Kikagulu Kikahe Kikami Kikara Kikerewe Kikimbu Kikinga Kikisankasa Kikisi Kikonongo Kikuria Kikutu Kikw adza Kikwaya Kikwere Kilambya
 • asilimia 6 iliyosalia ya watu Mkoani Njombe. Lugha ya Wakinga inaitwa Kikinga Asili ya lugha hii ina mkanganyo kidogo: baadhi ya taarifa zinaeleza kuwa
 • nchini Tanzania. Wenyeji wa Makete ni Wakinga wanaotumia lugha iitwayo Kikinga Aidha yapo makabila mengine kama Wawanji wanaoishi maeneo ya bonde la
 • miyokadiali. Mwingiliano mdogo na madawa ikilinganishwa na dawa nyingine za kikinga mimba zenye homoni Inapunguza hatari ya saratani ya endometriali. Depo - Provera

Users also searched:

...
...
...