Back

ⓘ Kikimbu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakimbu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikimbu imehesabiwa kuwa watu 78.000. Kufuatana na uai ..
                                     

ⓘ Kikimbu

Kikimbu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakimbu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikimbu imehesabiwa kuwa watu 78.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikimbu iko katika kundi la F20.

                                     

1. Viungo vya nje

  • makala za OLAC kuhusu Kikimbu
  • lugha ya Kikimbu katika Glottolog
  • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
  • lugha ya Kikimbu kwenye Multitree
  • tovuti hiyo ina msamiati wa Kikimbu
                                     

2. Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Busse, Joseph. 1952/53. "Kimbu-Sprachproben". Afrika und Übersee, 37 4, uk.183-186.
                                     
  • yaani Mkoa wa Tabora, Mkoa wa Singida na Mkoa wa Mbeya, hasa kwenye Wilaya ya Sikonge, Wilaya ya Manyoni na Wilaya ya Chunya. Lugha yao ni Kikimbu

Users also searched:

...
...
...