Back

ⓘ Kikerewe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakerewe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikerewe imehesabiwa kuwa watu 100.000. Kufuatana na ..
                                     

ⓘ Kikerewe

Kikerewe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakerewe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikerewe imehesabiwa kuwa watu 100.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikerewe iko katika kundi la E20.

                                     

1. Viungo vya nje

 • Archived Septemba 2, 2006 at the Wayback Machine. tovuti hiyo pia ina msamiati wa Kikerewe
 • makala za OLAC kuhusu Kikerewe
 • lugha ya Kikerewe kwenye Multitree
 • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
 • lugha ya Kikerewe katika Glottolog
 • tovuti hiyo ina msamiati wa Kikerewe
                                     

2. Marejeo

 • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

 • Thornell, Christina. 2002. "A preliminary sketch of time, aspect and mood in Kikerebe". Africa & Asia: Göteborg working papers on Asian and African languages and literatures, 2, uk.125-147.
                                     
 • Kiiraqw Kiisanzu Kijita Kikabwa Kikachchi Kikagulu Kikahe Kikami Kikara Kikerewe Kikimbu Kikinga Kikisankasa Kikisi Kikonongo Kikuria Kikutu Kikw adza Kikwaya
 • Bugonoka, na kijana wao wa kiume Ntulanalwo, na binti yao Bulihwali kutoka Kikerewe kwenda Kiingereza. Ruhumbika, pia alifundisha fasihi katika vyuo vikuu
 • aliyezaliwa Aga Khan Hospital jijini Dar es Salaam akiwa ni chotara wa Kikerewe na Kihehe. Baba ya yangu ni Mkerewe kutoka Ukerewe, Mwanza wakati mama

Users also searched:

...
...
...