Back

ⓘ It Was Written ni jina la albamu ya pili ya rapa wa Kimarekani Nas. Albamu ilitolewa mnamo tar. 2 Julai 1996 kupitia studio ya Columbia Records huko nchini Mare ..
It Was Written
                                     

ⓘ It Was Written

It Was Written ni jina la albamu ya pili ya rapa wa Kimarekani Nas. Albamu ilitolewa mnamo tar. 2 Julai 1996 kupitia studio ya Columbia Records huko nchini Marekani. Kufuatia uwastani wa mafanikio ya kimauzo katika albamu yake ya kwanza, Illmatic, Nas ameamua kujihusisha zaidi katika miondoko ile yenye mwelekeo wa kawaida. Hasa kwa kufanya kazi na Trackmasters, ambapo ni safari yake kutoka katika hali kutojulikana, toni zake akiwa kama msanii wa chini katika albamu yake ya kwanza - na kuja katika hali nyingine kabisa, msikiko wa kawaida kama wasanii wengine wakubwa. Albamu ina ladha ya mtindo wa mafioso na gangsta, jumlisha kuonekana kwake kwenye kundi bab-kubwa lililovuma kwa muda The Firm, ambalo liliunganishwa na marapa kama vile Foxy Brown, AZ, na Cormega.

Albamu imethibitisha kuwa ndiyo albamu ya Nas iliyopata mafanikio makubwa kwa kutolewa, kwa kuingia nafasi ya kwanza katika chati za Billboard 200 na kuuza nakala milioni 3 dunia nzima. Pia imepigisha mbiu kwa kuleta umaarufu mtindo anaotumia Nas, licha kukata rufaa kwake kwa kuzuiwa kimafanikio na albamu ziingine za mafiaso rap kama vile Only Built 4 Cuban Linx… 1995 na Reasonable Doubt 1996. Hata hivyo, mabadiliko yake ya kistaili na kuongezeka kwa mafanikio na umaarufu wake imepelekea uvumi wa kwamba anatoa kitu kidogo kwa wanajumuia ya hip hop. It Was Written nayo ilipokea tahakiki mchanganyiko kutoka kwa watahakiki kadhaa kwa kutofikia uwastani wa Illmatic.

                                     
  • Charles s execution, on the day of his interment, a memoir purporting to be written by the king appeared for sale. This book, the Eikon Basilike Greek for
  • English, Kigezo: IPAc - en, the o and e are pronounced separately. It is hence traditionally written with a diæresis, viz. Boëthius a spelling which has been
  • 719 comments on the League of Nations failure: It was wrong to say that the League failed. It was rather the member states who had failed the League
  • Januari 2001. Retrieved on 2008 - 04 - 01. Moss, Corey. Beyonce Records Song Written By Mike Myers For Powers Flick MTV News, 6 Desemba 2001. Retrieved
  • Geoffrey. The Huntsman: Winter s War, film review - caricatured and poorly written The Independent, April 7, 2016. Retrieved on April 8, 2016. Archived
  • That Single ya Nas featuring Lauryn Hill kutoka katika albamu ya It Was Written Imetolewa June 4, 1996 Muundo CD single Imerekodiwa 1995 Aina Hip hop
  • ya 23 August 2014. Iliwekwa mnamo 22 February 2015. Bhatkar, Mrunali. It was a starry affair at the Jio Mirchi Music Awards Marathi 2016 held in Mumbai

Users also searched:

...
...
...