Back

ⓘ Kikara, Tanzania. Kikara ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakara, wakazi wa kisiwa kimojawapo cha Ziwa Viktoria. Mwaka 1987 idadi ya wasema ..
                                     

ⓘ Kikara (Tanzania)

Kikara ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakara, wakazi wa kisiwa kimojawapo cha Ziwa Viktoria.

Mwaka 1987 idadi ya wasemaji wa Kikara ilihesabiwa kuwa watu 86.000.

Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikara iko katika kundi la E20. Inafanana na Kijita 81% na Kikwaya 80%.

                                     

1. Viungo vya nje

 • lugha ya Kikara kwenye Multitree
 • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
 • tovuti hiyo ina msamiati wa Kikara
 • makala za OLAC kuhusu Kikara
 • lugha ya Kikara katika Glottolog
                                     

2. Marejeo

 • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

 • Schweinitz, H. H. von. 1893. Wanyamwezi, Wassukuma, Wasiba und Wakara. Zeitschrift für Ethnologie, 25, pp 477–484.
 • Schoenbrun, David Lee. 1997. The historical reconstruction of Great Lakes Bantu: etymologies and distributions. Sprache und Geschichte in Afrika SUGIA, Beiheft 9) Köln: Rüdiger Köppe Verlag. Pp 351.
                                     
 • Kikara ni jina la lugha tofauti, yaani: lugha nchini Tanzania lugha nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati. lugha nchini Papua Guinea Mpya.
 • Kiingereza Kiiraqw Kiisanzu Kijita Kikabwa Kikachchi Kikagulu Kikahe Kikami Kikara Kikerewe Kikimbu Kikinga Kikisankasa Kikisi Kikonongo Kikuria Kikutu Kikw adza
 • Kiniger - Kongo. Inaendana hasa na Kijita, Kiruri, Kiregi, Kikabwa, Kisimbiti, Kikara Kikerewe, Kizinza, Kihangaza pamoja na Kiha, hivyo watu wa lugha hizo huelewana
 • wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza, na Chato Mkoa wa Geita Lugha yao ni Kikara Lugha hiyo inafanana sana na Kijita na Kikwaya, lugha ambazo huzungumzwa
 • lugha inayofanana sana na Kinyambo, Kihaya, Kiganda, Kinyankole, Kizinza, Kikara na Kisubi: hii ni kwa sababu Walongo asili yao ni Wahaya, Wanyambo, Watutsi

Users also searched:

...
...
...