Back

ⓘ Kikami, Tanzania. Kikami ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakami. Isichanganywe na lugha ya Kikami nchini Nigeria. Mwaka wa 2000 idadi ya w ..
                                     

ⓘ Kikami (Tanzania)

Kikami ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakami. Isichanganywe na lugha ya Kikami nchini Nigeria. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikami imehesabiwa kuwa watu 16.400. Kufuatana na uainishaji wa za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikami iko katika kundi la G30.

                                     

1. Viungo vya nje

 • lugha ya Kikami katika Glottolog
 • tovuti hiyo ina msamiati wa Kikami
 • lugha ya Kikami kwenye Multitree
 • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
 • makala za OLAC kuhusu Kikami
                                     

2. Marejeo

 • Maho, Jouni na Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Uk ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

 • Seidel, Agosti. 1896. Beiträge zur Kenntnis des Ki-Kami in Deutsch-Ostafrika. Zeitschrift für afrikanische und oceanische Sprachen, 2, uk 3–32.
 • Velten, Carl. 1900. Kikami, die Sprache der Wakami in Deutsch-Ostafrika. Mitteilungen des Seminars für orientalische Sprachen, 3 III. Abt., uk 1–56.
                                     
 • Kikami ni lugha ya Kiniger - Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Wakami. Isichanganywe na lugha ya Kikami nchini Tanzania Mwaka wa 1992 idadi ya wasemaji
 • Kikami ni jina la lugha mbalimbali tofauti, k.m. lugha ya Kikami nchini Tanzania lugha ya Kikami nchini Nigeria.
 • Wakami ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Morogoro, kwenye wilaya za Kilosa na Morogoro Vijijini. Lugha yao ni Kikami
 • Kiikoma - Nata - Isenye Kiingereza Kiiraqw Kiisanzu Kijita Kikabwa Kikachchi Kikagulu Kikahe Kikami Kikara Kikerewe Kikimbu Kikinga Kikisankasa Kikisi Kikonongo Kikuria Kikutu
 • Wahehe Die Sprache der Wahehe, Grammatik und Wörterbuch, 1899 Lugha ya Kikami Kikami die Sprache der Wakami in Deutsch - Ostafrika, 1900 Majina ambayo Wazungu

Users also searched:

...
...
...