Back

ⓘ Kikahe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakahe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikahe imehesabiwa kuwa watu 2700. Kufuatana na uainisha ..
                                     

ⓘ Kikahe

Kikahe ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakahe. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kikahe imehesabiwa kuwa watu 2700. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikahe iko katika kundi la E60.

                                     

1. Viungo vya nje

  • tovuti hiyo ina msamiati wa Kikahe
  • makala za OLAC kuhusu Kikahe
  • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
  • lugha ya Kikahe kwenye Multitree
  • lugha ya Kikahe katika Glottolog
                                     

2. Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Kahigi, Kulikoyela K. 2008. Kikahe: Msamiati wa Kikahe-Kiswahili-Kiingereza na Kiingereza-Kikahe-Kiswahili Kahe-Swahili-English and English-Kahe-Swahili Lexicon. Languages of Tanzania Project. ISBN 9987691153.
  • Mreta, Abel Y. 1990. The problem of Bantu linguistic affiliation: the case of Chasu, Kigweno, Kikahe and Kirombo. MA thesis. University of Dar es Salaam.
  • Möhlig, Wilhelm J. G.; Winter, Jürgen Christoph. 1982. Language and dialect atlas of Kilimanjaro. In: Recent German research on Africa: language and culture Projects of the Deutsche Forschungsgemeinschaft/Rapport sur la recherche africanistique allemande: langue et culture Projets réalisés par la Deutsche Forschungsgemeinschaft, pp 62–68. Edited by Bernd Heine. Boppard: Harald Boldt for the Deutsche Forschungsgemeinschaft.
                                     
  • Wakahe ni kabila la watu wa Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Kilimanjaro, karibu na mji wa Moshi. Lugha yao ni Kikahe ambacho ni Kichaga cha Old Moshi.

Users also searched:

...
...
...