Back

ⓘ Kikaguru ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakaguru. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikaguru imehesabiwa kuwa watu 241.000. Kufuatana na ..
                                     

ⓘ Kikaguru

Kikaguru ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakaguru. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kikaguru imehesabiwa kuwa watu 241.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikaguru iko katika kundi la G10.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
  • lugha ya Kikaguru katika Glottolog
  • lugha ya Kikaguru kwenye Multitree
  • makala za OLAC kuhusu Kikaguru
                                     

2. Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Beidelman, Thomas O. 1961. Hyena and rabbit: a Kaguru representation of matrilineal relations. Africa, 31 1, pp 61–74.
  • Last, Joseph T. 1886. Grammar of the Kagúru language, eastern equatorial Africa. London: Society for Promoting Christian Knowledge SPCK. Pp 147.
                                     
  • unanuce kitembe 3. Wetumba - Hawa ni Wagogo walioathiriwa Kigogo chao na Kikaguru Hupatikana katika wilaya za Kongwa na Mpwapwa Mfano - matamshi - jua limekuchwa
  • walipangwa katika mstari ili aanze mmoja na afuate mwingine, na kwa mila za Kikaguru kama kuna mtu na mdogo wake ilitakiwa aanze kutahiriwa mkubwa Chilongola

Users also searched:

...
...
...