Back

ⓘ Kikabwa ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakabwa. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikabwa imehesabiwa kuwa watu 14.000. Kufuatana na uai ..
                                     

ⓘ Kikabwa

Kikabwa ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Wakabwa. Mwaka wa 2011 idadi ya wasemaji wa Kikabwa imehesabiwa kuwa watu 14.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikabwa iko katika kundi la E40.

                                     

1. Viungo vya nje

  • makala za OLAC kuhusu Kikabwa
  • lugha ya Kikabwa katika Glottolog
  • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
  • lugha ya Kikabwa kwenye Multitree
                                     

2. Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
                                     
  • jamii ya lugha za Kiniger - Kongo. Inaendana hasa na Kijita, Kiruri, Kiregi, Kikabwa Kisimbiti, Kikara, Kikerewe, Kizinza, Kihangaza pamoja na Kiha, hivyo
  • kabila la watu wa Tanzania linaloishi katika Mkoa wa Mara. Lugha yao ni Kikabwa Idadi yao ni takribani watu 6000. Wanapatikana katika vijiji vya Bukabwa

Users also searched:

...
...
...