Back

ⓘ Kiisanzu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waisanzu. Wengine kama Maho na Sands 2002 wanaiangalia kuwa lahaja tu ya lugha ya Kinilamba. Mwak ..
                                     

ⓘ Kiisanzu

Kiisanzu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waisanzu. Wengine kama Maho na Sands 2002 wanaiangalia kuwa lahaja tu ya lugha ya Kinilamba. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiisanzu imehesabiwa kuwa watu 32.400. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiisanzu iko katika kundi la F30.

                                     

1. Viungo vya nje

  • lugha ya Kiisanzu katika Glottolog
  • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
  • makala za OLAC kuhusu Kiisanzu
  • lugha ya Kiisanzu kwenye Multitree
                                     

2. Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6
                                     
  • Kihangaza Kihaya Kihehe Kiikizu - Sizaki Kiikoma - Nata - Isenye Kiingereza Kiiraqw Kiisanzu Kijita Kikabwa Kikachchi Kikagulu Kikahe Kikami Kikara Kikerewe Kikimbu

Users also searched:

...
...
...