Back

ⓘ Archibald Jordan. Archibald Campbell Mzolisa Jordan alikuwa mwandishi na mwanahistoria wa Afrika Kusini. Hasa anajulikana kwa riwaya yake ya Kixhosa Ingqumbo Ye ..
Archibald Jordan
                                     

ⓘ Archibald Jordan

Archibald Campbell Mzolisa Jordan alikuwa mwandishi na mwanahistoria wa Afrika Kusini. Hasa anajulikana kwa riwaya yake ya Kixhosa Ingqumbo Yeminyanya. Pia aliandika tahakiki za fasihi ya Kixhosa zilizotolewa baada ya kifo chake tu. Mwaka wa 1961 aliruhusiwa na serikali kuhama Afrika Kusini na akawa profesa ya Lugha na Fasihi za Kiafrika katika Chuo Kikuu cha Wisconsin, Marekani.

                                     

1. Maandishi yake

 • Tales from Southern Africa 1973, baada ya kifo chake
 • Towards an African Literature 1972, baada ya kifo chake
 • Ingqumbo Yeminyanya = Hasira ya Mababu, 1940
                                     
 • tangu 1994 hadi 2009. Jordan ni mtoto wa wasomi Archibald Campbell Jordan na Phyllis Ntantala - Jordan Kama wazazi wake, Jordan lifanya kazi katika Umoja
 • Mjapani 1964 - Herbert Hoover, Rais wa Marekani 1929 - 1933 1968 - Archibald Jordan mwandishi na mwanahistoria wa Afrika Kusini 1981 - Mary Chase, mwandishi
 • Ragnar Granit, mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba mwaka wa 1967 1906 - Archibald Jordan mwandishi na mwanahistoria wa Afrika Kusini 1928 - Daniel Nathans
 • 22 Oktoba - Sidney Kingsley, mwandishi kutoka Marekani 30 Oktoba - Archibald Jordan mwandishi na mwanahistoria wa Afrika Kusini 12 Novemba - George Dillon
 • mtawa wa shirika la Ndugu Wadogo Wakapuchini kutoka Italia 20 Oktoba - Archibald Jordan mwandishi na mwanahistoria wa Afrika Kusini 30 Oktoba Conrad Michael
 • Jensma 1939 - James Jolobe 1902 - 1976 Ingrid Jonker 1934 - 1965 Archibald Jordan 1906 - 1968 Elsa Joubert 1922 - Robert Mshengu Kavanagh 1944
 • at the Wayback Machine. Gutenberg E - text of Patriarchal Palestine by Archibald Henry Sayce 1895 Moab entry in Smith s Bible Dictionary Archived Mei
 • conta Arianos Defence against the Arians ca. 349. Atkinson, M., and Archibald Robertson, trans. Apologia Contra Arianos. From Nicene and Post - Nicene

Users also searched:

...
...
...