Back

ⓘ Kiikoma ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waikoma. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiikizu-Nata-Isenye imehesabiwa kuwa watu 36.000, yaan ..
                                     

ⓘ Kiikoma

Kiikoma ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waikoma. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiikizu-Nata-Isenye imehesabiwa kuwa watu 36.000, yaani Waikoma 15.000, Wanata 11.500 na Waisenye 9.500. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiikoma-Nata-Isenye iko katika kundi la E40.

                                     

1. Viungo vya nje

  • lugha ya Kiikoma katika Glottolog
  • tovuti hiyo ina msamiati wa Kiikoma
  • lugha ya Kiikoma kwenye Multitree
  • makala za OLAC kuhusu Kiikoma
  • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
                                     

2. Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Mekacha, Rugatiri D. K. 1993. The sociolinguistic impact of Kiswahili on ethnic community languages in Tanzania: a case study of Ekinata. Bayreuth African studies series. Bayreuth University. Kurasa 237.
                                     
  • Waikoma ni kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mara. Lugha yao ni Kiikoma
  • Kigujarati Kigusii Kigweno Kiha Kihadza Kihangaza Kihaya Kihehe Kiikizu - Sizaki Kiikoma - Nata - Isenye Kiingereza Kiiraqw Kiisanzu Kijita Kikabwa Kikachchi Kikagulu

Users also searched:

...
...
...