Back

ⓘ Kiikizu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waikizu. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiikizu-Sizaki imehesabiwa kuwa watu 55.000. Kufuatana ..
                                     

ⓘ Kiikizu

Kiikizu ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waikizu. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiikizu-Sizaki imehesabiwa kuwa watu 55.000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiikizu-Sizaki iko katika kundi la E40.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Archived Oktoba 4, 2006 at the Wayback Machine.
  • lugha ya Kiikizu kwenye Multitree
  • lugha ya Kiikizu katika Glottolog
  • makala za OLAC kuhusu Kiikizu
  • tovuti hiyo ina msamiati wa Kiikizu na wa Kisizaki
                                     

2. Marejeo

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. Orientalia et africana gothoburgensia, no 17. Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Johnston, Harry. 1920. The Ki-shashi Ki-sasi language S. E. Victoria Nyanza. Journal of the African Society, 19, uk.210-213.
  • Marwa, Sebastiani Muraza. 1988. Mashujaa wa Tanzania. Mtemi Makongoro wa Ikizu: historia ya Mtemi Makongoro na kabila lake la Waikizu mwaka 1894 hadi 1958. Peramiho Tanzania & Ndanda Tanzania: Benedictine Publications. Kurasa 67.
                                     
  • watu wa kabila la Tanzania wanaoishi katika Mkoa wa Mara. Lugha yao ni Kiikizu lugha hiyo inafanana sana na lugha ya Wazanaki na Wakurya na asili ya
  • Tanzania inayozungumzwa na Waikoma. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiikizu - Nata - Isenye imehesabiwa kuwa watu 36, 000, yaani Waikoma 15, 000, Wanata

Users also searched:

...
...
...