Back

ⓘ Immagine & poesia. Ilianzishwa katika Alfa Teatro, Torino, Italia mnamo 2007, na kikundi cha washairi na wasanii ikiwa ni pamoja na Aeronwy Thomas, binti wa Dyl ..
Immagine & poesia
                                     

ⓘ Immagine & poesia

Ilianzishwa katika Alfa Teatro, Torino, Italia mnamo 2007, na kikundi cha washairi na wasanii ikiwa ni pamoja na Aeronwy Thomas, binti wa Dylan Thomas, Lidia Chiarelli, Gianpiero Actis na wengineo wengi, ambao wanaamini kwamba nguvu ya neno lililoandikwa na nguvu ya taswira, zikiungana, inaumba kazi mpya ambayo si nzuri tu kuliko visehemu, bali hubadilisha na kukuzwa na muungano. and Enzo Pāpa.

Mshairi wa Kimarekani Lawrence Ferlinghetti na msanii wa Kiitalia Ugo Nespolo ni wanachama wa Kamati ya Heshima ya IMMAGINE&POESIA. Beverly Matherne, mshairi na profesa katika Chuo Kikuu cha Northern Michigan, naye ni mwanachama wa harakati hizi. Mtahakiki rasmi wa sanaa katika harakati hizi ni Bi. Mary Gorgy na Enzo Papa.

                                     

1. Ilani

Ilani yake imetafsiriwa katika lugha zipatazo 28. Inavipengele vipatavyo 10. Kipengele cha nne kinaonesha wakati wa kustawisha wasanii na washairi: mchoraji anaweza kuangazia ushairi au utunzi wa ushairi waweza kuangazia uumbaji shughuli za sanaa, jibu lake ni sanaa mpya iliyokamilika.

                                     

2. Maonyesho

Tangu mwaka wa 2007 harakati imeandaa maonyesho ya usomaji wa ushairi na vingingevyo ambapo taswira na maneno vinashabihiana. Maonyesho yaliyopata sifa zaidi ni yale yaliyofanyika nchini Italia, Uingereza na Marekani

Users also searched:

...