Back

ⓘ Keep Their Heads Ringin ni jina la kutaja single ya Dr. Dre iliyochukuliwa kutoka katika kibwagizo cha filamu ya Friday. Ijapokuwa albamu ilitolewa kupitia Prio ..
Keep Their Heads Ringin
                                     

ⓘ Keep Their Heads Ringin

Keep Their Heads Ringin ni jina la kutaja single ya Dr. Dre iliyochukuliwa kutoka katika kibwagizo cha filamu ya Friday. Ijapokuwa albamu ilitolewa kupitia Priority Records, Death Row Records bado wanamiliki nakala kuu ya wimbo huu. Wimbo uliingia nafasi ya 10 kwenye chati za Billboard Hot 100 na ulitunukiwa dhahabu na RIAA mnamo tar. 10 Mei 1995 kwa mauzo zaidi ya 500.000.

Pia imefikia nafasi ya kwanza kwenye chati za Hot Rap Tracks huko nchini Marekani. Wimbo umetia maneno ya "Funk You Up" wa The Sequence kutoka katika single yao ya mwaka wa 1980 iliyotolewa chini ya Sugar Hill. Wimbo pia umeonekana kwenye Death Row Greatest Hits iliyotolewa mnamo mwaka wa 1996. Kitangulizi cha "Hey. Whatup?" kimefanywa na Dr. Dre wakati kiendelezo cha kifunguzi chenye muziki kuna KRS-One anasema nembo ya biashara yake kwa zogo "Buck, buck, buck".

                                     

1. Matoleo tofauti

Kuna toleo lingine la wimbo ambalo linaweza kupatikana kwenye Death Row Greatest Hits na albamu ya kompilesheni ya Death Row Dayz, ambapo Dr. Dre ametumia mistari hii:

Just chill, listen to the beats I spill I use Crest, so aint no cavity creeps in my grill

Badala ya toleo ambalo linatumika zaidi la:

Just chill, listen to the beats I spill Keepin it real, enables me to make another mill

                                     

2. Muziki wa video

Muziki w video ulitayarishwa na F. Gary Gray na umechukua nafasi kwenye banda la ndege, ndani ya Convair 880, kukiwa na Dr. Dre, na kundi lake likishika-hatamu usimamizi na udhibiti wa mwendendo wa ndege. Video inashikisha wanachama kadhaa wa kwenye filamu ya Friday ikiwa ni pamoja na Chris Tucker, Faizon Love, na Nia Long. Video inaishia na Chris Tucker na Faizon Love wanachukua ndege na kupaa nayo wakikimbia mapolisi. Chris Tucker anasema "Im on probation, I cant go back to jail" anakumbukuia uhusika wa Smokey ambaye alikuwa na matata ya kisheria kwenye Friday.

                                     

3. Orodha ya nyimbo

CD maxi / 12" maxi
  • "Take a Hit" by Mack 10 LP version - 4:34
  • "Take a Hit" by Mack 10 instrumental - 4:34
  • "Keep Their Heads Ringin" LP version - 5:01
  • "Keep Their Heads Ringin" instrumental - 4:57
CD single
  • "Take a Hit" by Mack 10 LP version - 4:34
  • "Keep Their Heads Ringin" LP version - 5:01
                                     
  • wa OutKast 1994 Black Hand Side wa Queen Latifah 1994 Keep Their Heads Ringin wa Dr. Dre 1995 Pretty Girl wa Jon B. 1995 Come On wa
  • Who Am I What s My Name 1993 Natural Born Killaz 1994 Keep Their Heads Ringin 1995
  • Nominated Let Me Ride Best Rap Solo Performance Ameshinda 1996 Keep Their Heads Ringin Nominated 1997 California Love with 2Pac & Roger Troutman
  • Keep Their Heads Ringin 1996 California Love 1996 No Diggity 1996

Users also searched:

...
...
...