Back

ⓘ Jumamosi kuu ni siku ya Juma kuu inayoadhimisha hasa pumziko la mwili wa Yesu Kristo kaburini kabla ya kufufuka kwa utukufu usiku wa kuamkia Jumapili ya Pasaka. ..
Jumamosi kuu
                                     

ⓘ Jumamosi kuu

Jumamosi kuu ni siku ya Juma kuu inayoadhimisha hasa pumziko la mwili wa Yesu Kristo kaburini kabla ya kufufuka kwa utukufu usiku wa kuamkia Jumapili ya Pasaka.

Tarehe yake inabadilikabadilika kila mwaka na hata mwaka uleule ni tofauti katika madhehebu ya Ukristo, hasa yanayofuata mapokeo ya mashariki na yale yanayofuata mapokeo ya magharibi.

Siku hiyo Misa na sakramenti mbalimbali haziadhimishwi kwa kuwa wafuasi wa Yesu wanatulia kimya wakitafakari matukio ya Ijumaa kuu na kujiandaa washangilie ufufuko wake kuanzia kesha la Pasaka hadi Jumapili ya Pentekoste siku 50 baadaye.

                                     
  • katika wilaya ya Wolaita linalostahili kuitwa mji. Ilikuwa na soko la Jumamosi na utoaji wa barua kila wiki, kufikia mwaka 1958 Sodo ilikuwa moja ya maeneo
  • ya Ireland. Harusi hii ilifuatiwa na sherehe mbalimbali katika siku ya jumamosi tarehe 9 Agasti walifnga ndoa kanisani, katika kanisa la Kikatolokila mtakatifu
  • Bwana Jumapili, siku inaposadikika Yesu alifufuka badala ya Sabato Jumamosi siku ya pumziko ya Wayahudi Kabla ya hapo Wakristo wa Kiyahudi walikuwa
  • biashara ya kawaida kutoka 10: 00 - 12: 00 adhuhuri siku zote za wiki isipokuwa Jumamosi Jumapili na sikukuu zilizotangazwa na soko mapema. Tovuti ya Wauzaji wenye
  • vipindi vya televisheni ikiwa ni pamoja na Manhunt, Deal au No Deal, MADtv, Jumamosi Night Live, Punk d, Psych, na Parks na Burudani. Alikuwa pia mshtakiwa
  • Bwana Jumapili, siku inaposadikika Yesu alifufuka badala ya Sabato Jumamosi siku ya pumziko ya Wayahudi Kabla ya hapo Wakristo wa Kiyahudi walikuwa
  • Yesu yu Mungu wa kweli Wanakataza ibada za Jumapili wakidai siku ya Jumamosi ndiyo siku takatifu ya Sabato iliyoamriwa na Mungu. Hawasheherekei sikukuu
  • ya Majivu, halafu kuanzia Jumatatu baada ya Pentekoste hadi mchana wa Jumamosi ya tarehe yanapoanza kuadhimishwa Majilio. Katikati ya hizo sehemu mbili

Users also searched:

hali ya hewa ya wikendi hii, hali ya hewa eneo la, hali ya hewa morogoro, utabiri wa hali ya hewa arusha, utabiri wa mvua 2021,

...
...
...