Back

ⓘ Its Just a Matter of Time ni wimbo wa ’pop’’ ulioandikwa na Brook Benton kwa ushirikiano wa Clyde Otis. Toleo la asili lililorekodiwa na Benton liliongoza katik ..
                                     

ⓘ Its Just a Matter of Time

Its Just a Matter of Time ni wimbo wa ’pop’’ ulioandikwa na Brook Benton kwa ushirikiano wa Clyde Otis. Toleo la asili lililorekodiwa na Benton liliongoza katika chati za the Billboard rhythm & blues mnamo 1959 na kufikia kilele katika nafasi ya 3 katika chati za the ’Billboard Hot 100 pop’’, wa kwanza katika mshururu wa nyimbo za Benton zilizovuma mnamo miaka ya 1970.

Wimbo huu hatimaye ulipata mwelekeo mpya kama mwenendo wa country huku matoleo yake makuu yakitayarishwa na wasanii watatu mashughuli wa country katika miaka ya 1970s na 1980s. Mawii kati ya matolao haya yalivuma katika nafasi ya kwanza.

                                     

1. Kiini na Mafanikio ya mwanzo

Utunzi

Brook Benton na Clyde Otis walianza kama timu ya utunzi wa nyimbo katika miaka ya baadaye ya 1950, huku wakitunga vibao kama "Looking Back" ya Nat King Cole na "A Lovers Question" ya Clyde McPhatter. Wakati wa vikao vya kuandika nyimbo, Benton alionyesha kutatizika kwa nini hawakuwa wanaangukia mawazo bora na Otis akajibu, "Its just a matter of time, Brook" Jipe muda tu Brook. Maeno hayo yaliwachochea kuandika wimbo wa kimapenzi kutoka kwa mtazamo wa mwanaume anayemkosa sana mpenziwe lakini anaamini atamrudia.

                                     

2.1. Matoleo ya Country Toleo la Sonny James

Toleo la kwanza la Cover lililotayarishwa na Sonny James; lilivuma katika mienendo ya Country na kukaa kileleni mwa chati za Billboard magazine Hot Country Singles kwa wiki nne mnamo Februari 1970. Huu ulikuwa wimbo wa kumi wa Jaames katik mshururu wa nyimbo zake 16 zilizoongoza katika chati hizo kati ya 1967-1971. James aliuimba wimbo huu katika tamasha za The Ed Sullivan Show mnamo 11 Januari 1970 Siku chache baada ya Single kutayarishwa na Hee Haw mnamo 21 Januari

                                     

2.2. Matoleo ya Country Toleo la Glen Campbell

Mnamo 1985, Glen Campell aliutayarisha wimbo huu na kuutoa kama single. Toleo lake lilipanda kufikia nafasi ya saba katika chati za Billboard Hot Country Singles mnamo Februari 1986.

                                     

2.3. Matoleo ya Country Toleo la Randy Travis

Randy Travis alikuwa msanii wa tatu kufanikuiwa na wimbo huu. Aliutoa mnamo Agosti 1989 ukiongoza albamu ya Single No Holdin Back. Toleo la Travis lilikuwa wimbo wake wa kumi kufika #1 katika chati za Billboard Hot Country Singles.

Rendition yake Travis ilitayarishwa awali katika albamu ya Rock, Rhythm & Blues, iliyoshirikisha mkusanyiko wa vibao kumi vikiwemo vibao kutoka miaka ya vilivyovuma miaka ya 1950 ambavyo vimefanya na wasanii wa miaka ya 1980. Baadaye wimbo huu ulishirikishwa katika albamu ya No Holdin Back baada ya Travis na wengine walipendezwa na utayarishi wao.

                                     
  • matter, but not any subject matter itself. While the Document itself is wholly editable, and is essentially covered by a license equivalent to but both - ways
  • Why Not the Rest? Time Magazine, Mei. 12, 1986. Retrieved on 2009 - 11 - 10.  Some critics blame the U.S. for the existence of just about all the world s

Users also searched:

...
...
...