Back

ⓘ Kaduna ni mji mkuu wa jimbo la Kaduna kaskazini-kati mwa Nigeria. Mji,huu ambao uko kwenye Mto wa Kaduna, ni kiini cha biashara kubwa na usafiri kwa maeneo ya k ..
Kaduna
                                     
ⓘ Kaduna

Kaduna ni mji mkuu wa jimbo la Kaduna kaskazini-kati mwa Nigeria. Mji,huu ambao uko kwenye Mto wa Kaduna, ni kiini cha biashara kubwa na usafiri kwa maeneo ya kilimo yaliyo karibu pamoja na reli na makutano za barabara. Idadi ya wakazi wa Kaduna ni1652844. Ishara ya Kaduna ni mamba, aitwaye Kada katika lugha ya Kihausa.

1. Historia

Kaduna ilianzishwa na Waingereza mwaka wa 1913 na kuwa mji mkuu wa Nigeria wa zamani wa Mkoa wa Kaskazini mwaka 1917. Ilihifadhi hali hiyo mpaka 1967.

Watu walioyoka Kaduna ni pamoja na Emmanuel na Celestine Babayaro Wachezaji mpira wa Nigeria na Fiona Atlanta Mwanasinema wa Uingereza na msichana katika sinema ya Bond

1.1. Historia Ugomvi wa Kidini

Kutokana na kidini, Kaduna imekuwa mahala pa mvutano wa kidini kati ya Waislamu na Wakristo, hasa juu ya utekelezaji wa sheria katika sharia katika mji wa Kaduna mwanzo wa mwaka wa 2001. Hasa katika tukio moja Februari mwaka wa 2000 angalau watu 1.000 waliuawa katika zogo fulani. Mji inabakia umetengwa siku hizi, ambapo Waislamu hasa wanaishi katika kaskazini ya mji na Wakristo katika kusini. Tukio jingine lilitokana na makala katika gazeti Lagos ambayo yalitia Waislamu hasira.makala haya yalikuwa juu ya shindano la kutafuta Mrembo wa Dunia lililokuwa wiki hiyo katika mji mkuu wa Abuja, kupendekeza kwamba kama Muhammad andehudhuria shindano hilo angeweza kuoa mmoja wa washindani hao.

2. Elimu

Kaduna ni nyumbani mwa Chuo cha Ulinzi cha Nigeria 1964, Kaduna Polytechnic 1968, Chui kikuu cha Ahmadu Bello 1962, Chuo kikuu cha Kaduna2007, Chuo cha Urobani na Teknolojia cha Nigeria na Taasisi ya Utafiti wa Trypanosomiasis Nigeria 1951.

3. Uchumi na usafiri

Kaduna nikiyuo cha viwanda Kaskazini mwa Nigeria, vinatengeneza bidhaa kama nguo, mashine, chuma, alumini, bidhaa za mafuta na magurudumu.

Ufinyaji wa Udongolinalofanywa sana katika Kaduna, hasa kutoka Maraban-Jos, ambayo inayofuata Abuja na Minna. Njia kuu inayopiytia mji huu inaitwa Barabara Ahmadu Bello. Majina mengi ya maeneo katika mji huu yametokana na majina ya zamani Masultani, emirs na mashujaa wa vita. Kaduna ina soko kubwa,lilioundwa hivi karibuni baada ya moto katikati mwa mwaka wa 1990.

Kuna uwanja wa mashindano mkubwa, takriban maili moja mviringo, ambapo ndani mnaKlabu ya polo ya Ahmadu Yakubuna Kalabu ya mamba Kadunapia vilabu vya mchezo wa raga viko ndani mwa uwanja huo. Kuna viwanja vya ndege mbili, moja ambayo ni Uwanja wa ndege Kaduna.

Ofisi kuu ya Kampuni ya huduma za ndege ya Chanchangiiko Kaduna.

Njia za reli

Mnamo Septemba, mwaka wa 2009, ujenzi wa tawi la reli hadi mji mkuu wa Abuja ulipitishwa                                     
  • Cross River Delta Ebonyi Edo Ekiti Enugu Gombe Imo Jigawa Kaduna Kano Katsina Kebbi Kogi Kwara Lagos Nasarawa Niger Ogun

  • 100 Land of Hope Jigawa State Dutse 4, 348, 649 23, 154 The New World Kaduna State Kaduna 6, 066, 562 46, 053 Centre of Education Kano State Kano 9, 383, 682 20

Users also searched:

...
...
...