Back

ⓘ Human Nature ni wimbo wa R&B uliombwa na msanii wa rekodi za muziki wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo huu ulitungwa na Steve Porcaro na John Bettis, na ..
Human Nature
                                     

ⓘ Human Nature

Human Nature ni wimbo wa R&B uliombwa na msanii wa rekodi za muziki wa Kimarekani, Michael Jackson. Wimbo huu ulitungwa na Steve Porcaro na John Bettis, na ulitayarishwa na Quincy Jones kwa ajili ya albamu yake ya sita ya Thriller. Awali, Porcaro alirekodi demo kaseti ya majaribio ya wimbo huu, ambayo hiyo ndiyo baadaye alikuja kupewa Jones.

"Human Nature" ulitolewa mnamo tar. 3 Julai 1983, ukiwa kama wimbo wa tano katika albamu. Japokuwa wimbo haujatolewa nchini UK, wimbo ulipata mafanikio makubwa katika chati za US. Kwa kushika namba mbili kwenye chati za Billboard Hot Adult Contemporary na namba saba kwenye chati za Hot 100. Wimbo huu ni wa tano wa Michael Jackson kutoka katika albamu ya "Thriller" na kuingia kwenye Kumi Bora. Nchini New Zealand, single ilishika nafasi ya 11. Wimbo huu wa "Human Nature" ulikuja kuimbwa na kusampuliwa na wasanii kibao. Wasanii hao ni pamoja na: Miles Davis, SWV, Nas, Jason Nevins na Boyz II Men.

                                     

1. Marejeo

 • Thriller 25: The Book 2008. Thriller 25: The Book. ML Publishing Group. ISBN 978-0-9768891-9-9.
 • Halstead, Craig 2007. Michael Jackson: For the Record. Authors OnLine. ISBN 978-0-7552-0267-6.
 • George, Nelson 2004. Michael Jackson: The Ultimate Collection booklet. Sony BMG.
                                     
 • Kiswahili vinaitwa kifupi VVU Virusi vya UKIMWI kwa Kiingereza: HIV, yaani Human Immunodeficiency Virus na vinashambulia mwili kwa kuondoa nguvu zake za
 • Group, 2005. ISBN 0 - 8264 - 1764 - 7 Hatzidakis, Emmanuel. Jesus: Fallen? The Human Nature of Christ Examined from an Eastern Orthodox Perspective. Clearwater:
 • Return. Princeton University Press, 1954. The Sacred and the Profane: The Nature of Religion. Trans. Willard R. Trask. NY: Harper & Row, 1961. Louis Herbert
 • Savior Save Women? : Gregory of Nazianzus on the Logos Assumption of Human Nature Christian Scholar s Review 28.1 1998 42 57. K. Skurat, St. Gregory
 • and text search Campbell, R.S. and Skinner, A.S., eds. The Origins and Nature of the Scottish Enlightenment, Edinburgh, 1982 Cassirer, Ernst. The Philosophy
 • 263 304 Bix, John Austin Roeber, What the Law Requires, 887 Stone, Human Law and Human Justice, 14, 51 Fritz Berolzheimer, The World s Legal Philosophies
 • Thomas A. Widiger, eds. ISBN 0 - 471 - 39263 - 4 Badcock, Christopher R. 2015 Nature - Nurture Controversy, History of In Wright, James D.. International Encyclopedia
 • Virusi vya UKIMWI kifupi: VVU kwa Kiingereza HIV, yaani Human Immunodeficiency Virus ni virusi vinavyoshambulia mwili wa binadamu kwa kuondoa nguvu
 • 1992 Roman Nature The Thought of Pliny the Elder. Oxford: Oxford Univ. Press. Beagon, Mary translator 2005 The elder Pliny on the human animal: Natural
 • 250 million - year - old halotolerant bacterium from a primary salt crystal Nature 407 6806 897 900. doi: 10.1038 35038060 PMID 11057666 Cano R, Borucki

Users also searched:

...
...
...