Back

ⓘ Ibn Sina ni kati ya wataalamu na wanafalsafa mashuhuri kabisa katika historia ya Uislamu. Alizaliwa mnamo mwaka 980 karibu na mji wa Bukhara katika Khorasan leo ..
Ibn Sina
                                     

ⓘ Ibn Sina

Ibn Sina ni kati ya wataalamu na wanafalsafa mashuhuri kabisa katika historia ya Uislamu.

Alizaliwa mnamo mwaka 980 karibu na mji wa Bukhara katika Khorasan leo nchini Uzbekistan akafa mwaka 1037 mjini Hamadan) katika Uajemi.

Alishughulika sayansi nyingi; alikuwa tabibu na pia mtaalamu wa fizikia, sheria, hisabati, astronomia na kemia.

Kwa jumla alitoa maandiko 450 kuhusu mada mbalimbali na 240 kati ya haya zimepatikana hadi leo. Vitabu vilitafsiriwa kwa lugha mbalimbali hata kwa Kilatini na kwa njia hiyo Ibn Sina alikuwa pia mwalimu wa Ulaya katika tiba na falsafa.

                                     

1. Viungo vya nje

 • Catholic Encyclopedia: Avicenna
 • Ibn Sina from the Encyclopedia of Islam
 • Philosophy Bites podcast interview with Peter Adamson on Avicenna.
 • Biography & Works from Routledge
 • Physicians Day in Iran: A Reference Article on Pur Sina Avicenna by Manouchehr Saadat Noury Archived Machi 17, 2008 at the Wayback Machine.
 • Avicenna/Ibn Sina at the Internet Encyclopedia of Philosophy
 • Biography of Avicenna Archived Desemba 3, 2002 at the Wayback Machine.
 • Avicenna An article by encyclopedia Iranica
 • Ibn Sina Islamic Philosophy Online
 • Biography of Avicenna in English Archived Agosti 15, 2017 at the Wayback Machine.
 • Avicenna an article by Seyyed Hossein Nasr on Encyclopedia Britannica Online
                                     
 • fiq - hi, hisabati, mantiki na falsafa. Hapa alisoma hasa kazi za Ibn Rushd Averroes Ibn Sina Avicenna, Razi na at - Tusi. Alipokuwa na miaka 17 wazazi walikufa
 • ya pilaf uliandikwa chini katika karne ya kumi na mwanachuoni Abu Ali Ibn Sina Avicenna ambaye katika vitabu vyake vya matibabu ya sayansi aliandika
 • Confucius Lao Tze Siddharta Gautama Buddha Acharya Madhwa Madhavacharya Ibn Sina Avicenna Al - Ghazali Zhu Xi A. Mihanjo, Falsafa na Usanifu wa Hoja, Salvatorianum

Users also searched:

csee 2019, csee 2020,

...
...
...