Back

ⓘ Kaini. Baadaye historia ya wokovu inaonyesha kulikuwa na maendeleo ya ufugaji wa kondoo na ngombe, pia kulikuwa na maendeleo ya ufundi na utamaduni, lakini kwa ..
Kaini
                                     

ⓘ Kaini

Baadaye historia ya wokovu inaonyesha kulikuwa na maendeleo ya ufugaji wa kondoo na ngombe, pia kulikuwa na maendeleo ya ufundi na utamaduni, lakini kwa upande wa maadili watu walizidi kuwa waovu.

Lameki, licha ya kumwua kijana kwa ajili ya kumwumiza kidogo, alitunga wimbo uliotukuza ukatili wake. Kaini alikuwa afadhali kidogo. Alitafuta na alipata kinga fulani ya Mungu, asije akauawa kwa kisasi, lakini Lameki hakujali jambo lo lote, akatisha sana, mtu asije akathubutu kumdhuru 4:19-24.

Baada ya mambo hayo, wazao wa Kaini hawaonekani tena katika habari za Biblia. Kuanzia hapo masimulizi yanaendelea na habari za wazao wa mwana mwingine wa Adamu, Sethi, kwa sababu walikuwa wale walioendelea kumwabudu Mungu 25-26.

Adamu na Hawa walizaa watoto wengi, wa kiume na wa kike taz. 5:4, kwa sababu sehemu ya wajibu wao ilikuwa kusaidia kujaza dunia taz. 1:28. Katika muda wa miaka mingi makabila mbali ya watu yalipatikana, na watu wale walifanya makao yao mahali tofauti.

Lakini Biblia inashughulika na historia inayoendelea na sehemu ndogo tu ya wanadamu wote, yaani wale waliotokana na watoto wa Shemu, ambao Waebrania walikuwa wametokana nao.

                                     

1. Marejeo

 • BDB, Francis Brown. The Brown Driver Briggs Hebrew and English Lexicon: with an appendix containing the Biblical Aramaic; coded with the numbering system from "Strongs Exhaustive Concordance of the Bible", 7. print. 1997, Peabody: Hendrickson. ISBN 978-1565632066.
 • Byron, John 2011. Cain and Abel in text and tradition: Jewish and Christian interpretations of the first sibling rivalry. Leiden: Brill. ISBN 978-9004192522.
 • Kugel, James L. 1998. Traditions of the Bible: a guide to the Bible as it was at the start of the common era. Cambridge, Mass.: Harvard University Press. ISBN 978-0674791510.
 • Luttikhuizen, Gerard P. Editor 2003. Eves children: the biblical stories retold and interpreted in Jewish and Christian traditions, Vol. 5, Leiden: Brill. ISBN 978-9004126152.
                                     

2. Marejeo mengine

 • Aptowitzer, Victor 1922. Kain und Abel in der agada: den Apokryphen, der hellenistischen, christlichen und muhammedanischen literatur, Vol. 1, R. Löwit.
 • Glenthoj, Johannes Bartholdy 1997. Cain and Abel in Syriac and Greek writers: 4th - 6th centuries. Lovanii: Peeters. ISBN 978-9068319095.
                                     

3. Viungo vya nje

 • King James Version
 • Rashi on Genesis, Chapter 4, by Rashi
 • Qaheen / Cain and Hevel / Abel
 • Baudelaires poem in French with English translations underneath
 • Parallel voweled Hebrew and King James Version
 • Story of Cain and Abel in Sura The Table Al Maida
                                     
 • Adamu na Eva na kama binadamu wa kwanza kufa, akiwa ameuawa na kaka yake Kaini kwa kijicho. Habari hizo zinapatikana katika kitabu cha Mwanzo 4: 2 - 8
 • kinamtaja mmojawao kama mwana wa Metusala katika kizazi cha tano baada ya Kaini Ndiye wa kwanza kuoa mitara akiwa na wake wawili, Ada e Zila, waliomzalia
 • sababu hiyo wanaitwa binadamu kwa namna ya pekee waliweza kuzaa wenyewe Kaini Abeli na Seti. Kanisa Katoliki linamheshimu kama mtakatifu kila tarehe
 • ni jina la watu wawili katika Biblia: mmoja alikuwa mtoto wa kwanza wa Kaini Mwa 4: 17 mwingine alikuwa mtoto wa Yaredi na baba wa Metuselah, ambaye
 • ya dhambi ya asili watu walianza kuzaa. Mwa 4: 1 - 16 inatuchorea picha ya Kaini na Abeli kama wazaliwa wa kwanza waliotofautiana kiadili 1Yoh 3: 11 - 12

Users also searched:

...
...
...