Back

ⓘ Isis. Kuhusu kundi la kigaidi linaloitwa ISIS, angalia Daish Isis alikuwa mmoja wa miungu katika dini ya Misri ya Kale. Alikuwa mungu wa kike aliyeabudiwa na Wa ..
Isis
                                     

ⓘ Isis

Kuhusu kundi la kigaidi linaloitwa ISIS, angalia Daish

Isis alikuwa mmoja wa miungu katika dini ya Misri ya Kale. Alikuwa mungu wa kike aliyeabudiwa na Wamisri wengi katika maisha ya kila siiku kwa sababu aliaminiwa kuhusika na shughuli za uzazi na kujifungua, na kutoka hapa maombi mengi ya uponyaji yalilengwa kwake.

Kama mungu wa uhai na uchawi, Isis aliwalinda wanawake na watoto, na kuwaponya wagonjwa. Alitazamiwa kama mama wa kimungu wa kila farao mfalme.

Katika mitholojia ya Misri aliunganishwa hasa na Osiris mume wake wa kimungu na Horus mwana wa Osiris na Isis. Ibada ya Isis iliendelea muda mrefu hadi kipindi cha utawala wa Kiroma, ikaenea pia nje ya Misri katika Dola la Roma.

Alama zake zilikuwa ankh, mabawa yake, na taji lilionyesha kiti cha kifalme.

                                     

1. Kujisomea

 • Richard H. Wilkinson: The complete gods and goddesses of ancient Egypt, Thames & Hudson 2003, ISBN 978-0-500-05120-7 online kupitia archive.org

Wallis E. Budge,The Gods of the Egyptians, 1904, Chicago 1904, kupitia archive.org

 • Gods and Goddesses of Ancient Egypt by Janeen R, Adil
                                     
 • Kuhusu mungu wa kike wa Misri ya Kale, angalia Isis Daish pia Daesh, tamka: da - ish au da - esh, kwa Kiarabu داعش, kifupisho cha ad - Dawlah al - Islāmiyah fīl - ʿIrāq
 • kaka na mume wa Isis Walikuwa na mtoto wa kiume aliyeitwa Horus. Katika masimulizi ya Wamisri Osiris aliuawa na kaka yake Set lakini Isis alifaulu kumrudisha
 • Christian Among Those Beheaded By ISIS Online., Herald Malaysia. The bodies of the Coptic Martyrs beheaded by Isis found in Libya. Ghanaian beheaded
 • decorated with sculpted marble possibly sanctuaries of Aphrodite and of Isis whose cults the 2nd - century CE writer Pausanias attests at the town mosaic
 • Christian Among Those Beheaded By ISIS Online., Herald Malaysia. The bodies of the Coptic Martyrs beheaded by Isis found in Libya. Ghanaian beheaded
 • XVIIIe siècle. Négociants européens et notables ottomans, Istanbul: The Isis Press, 2009. Roudometof Nikolaos ed. Notebooks of Bulgarian Occupation
 • Aesthetics of Symmetry Archived Septemba 25, 2017 at the Wayback Machine. ISIS Symmetry International Symmetry Association ISA Archived Julai 21, 2006
 • wa miungu ya Misri ya Kale. Katika mitholojia ya Kimisri alikuwa mwana wa Isis na Osiris. Aliabudiwa hasa kama mungu wa anga na pia mungu wa ufalme. Ibada
 • zamani la Ure lilikuwa Isara ambalo lilibadilika kuwa Isure Isurium Isis na hatimaye katika Saxon, Ouse - ambapo kuna uwezekano wa kuelezea mabadiliko
 • mbingu na Geb, mungu wa dunia. Tena hao walikuwa na watoto wanne walioitwa Isis mungu wa kike wa nyumbani, Nephthys, mungu wa maombolezo, Set, mungu wa

Users also searched:

...
...
...