Back

ⓘ Imam Muslim. Muslim ibn al-Hajjaj anajulikana kwa mkusanyiko wake wa Hadithi za Mtume Muhammad unaokubaliwa kuwa mkusanyiko muhimu pamoja ule ya Al-Bukhari. Una ..
Imam Muslim
                                     

ⓘ Imam Muslim

Muslim ibn al-Hajjaj anajulikana kwa mkusanyiko wake wa Hadithi za Mtume Muhammad unaokubaliwa kuwa mkusanyiko muhimu pamoja ule ya Al-Bukhari. Unajulikana kama Sahih Muslim.

Muslim alizaliwa Nishapur katika mkoa wa Khorasan, iliyopo katika Iran ya kaskazini-mashariki ya leo. Kufuatana na mapokeo alikuwa Mwajemi au Mwarabu.

                                     

1. Viungo vya Nje

  • Short Bio of Imam Muslim
  • Biodata at MuslimScholars.info
  • Biography of Imam Muslim
  • Interactive Family tree of Imam Muslim by Happy Books
  • English translation of Sahih Muslim
  • Biography at Sunnah.com
  • Interactive diagram of teachers and students of Imam Muslim by Happy Books
                                     
  • hiki hapo Zanzibar umeanzia zama za Imam Abu Hamid bin Muhammad al - Ghazzali 1058 - 1111 aliyekuwa mwanafunzi wa Imam wa Haramayn Ahmed Malik al - Jawayti

Users also searched:

...
...
...