Back

ⓘ Iliki ni kiungo cha chakula kinachotokana na mbegu za mimea ya jenasi Elettaria na Amomum katika familia ya Zingiberaceae. Mbegu za eletteria ni nyeupe-kijani, ..
Iliki
                                     

ⓘ Iliki

Iliki ni kiungo cha chakula kinachotokana na mbegu za mimea ya jenasi Elettaria na Amomum katika familia ya Zingiberaceae. Mbegu za eletteria ni nyeupe-kijani, na zile za amomum ni kubwa na nyeusi-kahawia.

Asili ya mimea inapatikana huko Uhindi na Indonesia lakini tangu mwanzo wa karne ya 20 imelimwa nchini Guatemala ambayo kwa sasa ni nchi inayouza iliki nyingi duniani.

                                     

1. Kujisomea

  • Buckingham, J.S. & Petheram, R.J. 2004, Cardamom cultivation and forest biodiversity in northwest Vietnam, Agricultural Research and Extension Network, Overseas Development Institute, London UK.
  • Cumo, Christopher Martin 25 April 2013. Encyclopedia of Cultivated Plants: From Acacia to Zinnia, vols. I, II & III, Montreal.
  • Bell, Jacob 1843. Pharmaceutical Journal: A Weekly Record of Pharmacy and Allied Sciences, Public domain II, No. 1, London: John Churchill.
  • Aubertine, C. 2004, Cardamom Amomum spp. in Lao PDR: the hazardous future of an agroforest system product, in Forest products, livelihoods and conservation: case studies of non-timber forest products systems vol. 1-Asia, Center for International Forestry Research. Bogor, Indonesia.
                                     
  • ladha au harufu maalumu katika chakula. Mifano yake ni chumvi, kitunguu, iliki karafuu au pilipili. Viungo vingi kwa asili ni mbegu, matunda, majani au
  • mahindi, muhogo, maharage na viyuga. Mazao ya biashara ni chai, kahawa na iliki Bumbuli kuna viwanda viwili vya kusindika majani ya chai: viwanda hivyo

Users also searched:

...
...
...