Back

ⓘ Injenwino alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo wa Italia Kaskazini. Wakati wa uvamizi wa Walombardi Waario ilimbidi akimbie, lakini baadaye akarudi. Tangu kale a ..
Injenwino
                                     

ⓘ Injenwino

Injenwino alikuwa askofu wa kwanza wa mji huo wa Italia Kaskazini.

Wakati wa uvamizi wa Walombardi Waario ilimbidi akimbie, lakini baadaye akarudi.

Tangu kale anaheshimiwa na Kanisa Katoliki na Kanisa la Kiorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 5 Februari.

                                     

1. Marejeo

  • Josef Gelmi: Bischof Ingenuin von Säben, Brixen Weger 2005; ISBN 8888910239
  • Josef Riedmann: Ingenuin von Säben. In: Lexikon der Heiligen und der Heiligenverehrung. 2. Band. Herder, Freiburg i. B. 2003, ISBN 3-451-28192-9
  • Anselm Sparber: Ingenuin. In: Lexikon für Theologie und Kirche. 1. Auflage, 5. Band. Herder, Freiburg i. B. 1933
                                     
  • kumbukumbu za watakatifu Agatha, Wafiadini wa Ponto, Avito wa Vienne, Injenwino Albuino, Yesu Mendez n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu: 5 Februari
  • Iltruda Ndiyo Ndiyo Ndiyo Iluminata wa Todi Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Injenwino Ndiyo Ndiyo Ndiyo Inosenti I Ndiyo Ndiyo Inosenti askofu Ndiyo Ndiyo
  • Sanamu za Wat. Injenwino na Albuino katika kanisa kuu la Brixen Bressanone.

Users also searched:

...