Back

ⓘ Joseph Garang. Garang alisoma shule ya St. Antonys Bussere 1944-1948 na Rumbek Secondary School 1949-1953. Mnamo mwaka 1957,alikuwa mwanamume wa kwanza Msudani ..
Joseph Garang
                                     

ⓘ Joseph Garang

Garang alisoma shule ya St. Antonys Bussere 1944-1948 na Rumbek Secondary School 1949-1953. Mnamo mwaka 1957,alikuwa mwanamume wa kwanza Msudani kupata shahada ya sheria wakati akihitimu katika chuo kikuu cha Sudani cha University of Khartoum.

Muda mfupi baada ya kuhitimu masomo yake, alikataa kuwa mwanasheria mkuu na badala yake alitaka kufanya kazi ya kujitolea kama mwanasheria huku akiendeleza kazi yake ya kuwa mwanasiasa.

                                     

1. Siasa

Joseph Garang alikuwa mwanachama wa chama cha siasa cha Sudanese Communist Party, na kuhudumu kama waziri katika serikali ya watu wa Sudan.

Mnamo mwezi Julai mwaka 1971, Garang pamoja na watu wengine, waliuliwa kutokana na kupatikana na tuhuma ya kula njama za uhaini wa kimapinduzi dhidi ya serikali ya rais Gaafar Nimeiry.

                                     
  • Dkt John Garang de Mabior 23 Juni 1945 - 30 Julai 2005 alikuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Sudan na kiongozi wa zamani wa waasi wa Sudan People s Liberation
  • wa zamani wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo John Garang Makamu wa Rais wa zamani wa Sudan Joseph Obgeb Jimmy, mwanadiplomasia wa Namibia Asha - Rose Migiro

Users also searched:

...
...
...