Back

ⓘ Irmina wa Trier alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme ambaye, labda baada ya kuolewa na kuzaa watoto watano, alianzisha monasteri huko Oehren akaiendesha kama abe ..




Irmina wa Trier
                                     

ⓘ Irmina wa Trier

Irmina wa Trier alikuwa mwanamke wa ukoo wa kifalme ambaye, labda baada ya kuolewa na kuzaa watoto watano, alianzisha monasteri huko Oehren akaiendesha kama abesi hadi kifo chake.

Alimfadhili sana Wilibrodi katika umisionari wake.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 24 Desemba.

                                     

1. Viungo vya nje

  • Ego Irmina. abbatissa. Testament of abbess Irmina of Oeren from 1 December 697/98 donating to the monastery of Willibrord in Echternach, MGH Latin
  • Irmina of Trier, abbess and saint German Accessed 17 December 2011
                                     
  • watakatifu Yakobo - Israeli, Raheli, Delfino wa Bordeaux, Tarsila wa Roma, Irmina wa Trier Paula Elizabeti Cerioli n.k. Wikimedia Commons ina media kuhusu:
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

...