Back

ⓘ Judikaeli alikuwa mfalme wa Bretagne kabla ya kwenda tena kuishi monasterini. Akiwa madarakani alijitahidi sana kupatanisha wananchi wake na wavamizi Wafaranki. ..
Judikaeli
                                     

ⓘ Judikaeli

Judikaeli alikuwa mfalme wa Bretagne kabla ya kwenda tena kuishi monasterini. Akiwa madarakani alijitahidi sana kupatanisha wananchi wake na wavamizi Wafaranki.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 17 Desemba.

                                     

1. Marejeo

  • BHL 4503
  • Smith, Julia M. H. 2 November 2006. Cambridge University Press, 5–. ISBN 978-0-521-03030-4.
  • Chardonnet, Joseph. Livre dor des saints de Bretagne. Rennes: Armor-Éditeur, 1977. See esp. pp. 139–42.
                                     
  • Ndiyo Jovino na Basileo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Juan Diego Ndiyo Judikaeli Ndiyo Ndiyo Ndiyo Judita Vannini Ndiyo Judoki Ndiyo Ndiyo Ndiyo

Users also searched:

...