Back

ⓘ Kastrisiani alikuwa askofu wa tatu wa Milano, Italia Kaskazini katikati ya karne ya 3. Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu. Sik ..
Kastrisiani
                                     

ⓘ Kastrisiani

Kastrisiani alikuwa askofu wa tatu wa Milano, Italia Kaskazini katikati ya karne ya 3.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 1 Desemba.

                                     

1. Marejeo

  • Pasini, Cesare 1988. "Castriziano di Milano, santo sec. IV". Dizionario della Chiesa Ambrosiana. 2. Milano: NED. p. 764–765.
  • Cazzani, Eugenio 1996. Vescovi e arcivescovi di Milano. Milano: Massimo, 11. ISBN 88-7030-891-X. Kiitalia
  • Ruggeri, Fausto 1991. I Vescovi di Milano. Milano: NED, 7–8. ISBN 88-7023-154-2. Kiitalia
. Kiitalia
                                     
  • mapokeo ya Roma, huadhimisha kumbukumbu za watakatifu nabii Nahumu, Kastrisiani Ajeriki, Eliji wa Noyon, Edmundi Campion, Rudolf Sherwin, Aleksanda
  • Kastori wa Tarso Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Kastrese Ndiyo Ndiyo Ndiyo Kastrisiani Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Kastuli, Modesti na wenzao Ndiyo Ndiyo Ndiyo

Users also searched:

...