Back

ⓘ Kaniko abati alikuwa mmonaki padri kutoka Ireland, maarufu kwa kuanzisha monasteri nyingi na kueneza Ukristo wa Kiselti katika sehemu mbalimbali za visiwa vya B ..
Kaniko abati
                                     

ⓘ Kaniko abati

Kaniko abati alikuwa mmonaki padri kutoka Ireland, maarufu kwa kuanzisha monasteri nyingi na kueneza Ukristo wa Kiselti katika sehemu mbalimbali za visiwa vya Britania, akifanya umisionari pamoja na kushika kanuni kali ya kitawa.

Aliandika kitabu cha ufafanuzi wa Injili.

Tangu kale anaheshimiwa kama mtakatifu.

Sikukuu yake huadhimishwa tarehe 11 Oktoba.

                                     

1. Marejeo mengine

  • ODonovan, John, The Banquet of Dun Na N-Gedh and The Battle of Magh Rath, For the Irish Archaeological Society, 1842 ISBN 978-0-7661-8765-8.
  • Baring-Gould, S, "S. Cainnech", The Lives of the British Saints;The Saints of Wales, Cornwall and Irish Saints, V2, 1908, Kessinger Publishing, ISBN 0-7661-8765-9 2005.
                                     

2. Viungo vya nje

  • Omnium Sanctorum Hiberniae; Saint Canice of Kilkenny, October 11
  • Catholic Forum
  • A poem in praise of Cainnech attributed to Columcille, original Irish text from Royal Irish Academy MS 23 N 10 at Thesaurus Linguae Hibernicae
  • A hymn to Columcille attributed to Cainnech, original Irish text from Rawlinson B 505 at Thesaurus Linguae Hibernicae
                                     
  • Nikasi, Kwirini na wenzao, Santino wa Verdun, Sarmata, Firmino wa Uzes, Kaniko abati Anastasi balozi, Aleksanda Sauli, Petro Le Tuy, Maria Desolata n.k.

Users also searched:

...