Back

ⓘ Karitoni wa Souka alikuwa Mkristo ambaye, baada ya kuteswa ujanani kwa imani yake, akawa mmonaki ambaye alianzisha monasteri kadhaa jangwani. Tangu kale anahesh ..
Karitoni wa Souka
                                     

ⓘ Karitoni wa Souka

Karitoni wa Souka alikuwa Mkristo ambaye, baada ya kuteswa ujanani kwa imani yake, akawa mmonaki ambaye alianzisha monasteri kadhaa jangwani.

Tangu kale anaheshimiwa na Wakatoliki na Waorthodoksi kama mtakatifu.

Sikukuu yao ni tarehe 28 Septemba.

                                     

1. Marejeo

  • Leah Di Segni: The Life of Chariton, in: Ascetic Behavior in Greco-Roman Antiquity: A Sourcebook Studies in Antiquity and Christianity, Vincent L. Wimbush, Minneapolis 1990, ISBN 0-8006-3105-6, p. 393–421.
  • Shehadeh, Raja: Palestinian Walks, pp. 136–7. Profile Books 2008, ISBN 978-1-86197-899-8
                                     
  • Aleksanda na Zosimo, Karitoni wa Souka Zama wa Bologna, Esuperi wa Toulouse, Eustokya wa Roma, Saloni wa Geneva, Lioba, Simoni wa Rojas n.k. Wikimedia
  • wameorodheshwa kwa utaratibu wa alfabeti baadhi ya Watakatifu yaani watu wanaoheshimiwa na Wakristo kama vielelezo vya uadilifu wa Kiinjili. Orodha hii inaonyesha

Users also searched:

...