Back

ⓘ Ivo Helory, T.O.S.F. alikuwa msomi aliyepata kuwa padri mwadilifu aliyejitahidi sana kusaidia maskini, kutetea wanyonge na kuleta amani kati ya watu. Alitangazw ..
Ivo Helory
                                     

ⓘ Ivo Helory

Ivo Helory, T.O.S.F. alikuwa msomi aliyepata kuwa padri mwadilifu aliyejitahidi sana kusaidia maskini, kutetea wanyonge na kuleta amani kati ya watu.

Alitangazwa mtakatifu na Papa Klementi VI mnamo Juni 1347.

Sikukuu yake inaadhimishwa tarehe 19 Mei.

                                     

1. Vyanzo

  • His vita is in the Acta Sanctorum, col. 735.
  • Vauchez, André 1993. in Daniel E. Bornstein: The Laity in the Middle Ages: Religious Beliefs and Devotional Practices. Notre Dame: University of Notre Dame Press.
                                     

2. Viungo vya nje

  • Wigmore, John H., "St. Ives, Patron Saint Of Lawyers", 5 Fordham L. Rev. 401 1936
  • Vie de saint Yves, bibliographie, hagiographie et tradition manuscrite Sur PECIA Ressources en médiévistique
                                     
  • Urbano I, Parteni na Kalogeri, Dunstan wa Canterbury, Papa Selestini V, Ivo Helory Teofilo wa Corte, Krispino wa Viterbo, Maria Bernarda Buetler n.k. Wikimedia
  • Ndiyo Ndiyo Ndiyo Iskirioni wa Aleksandria Ndiyo Italo, Zotiko na wenzao Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ndiyo Ivo Helory Ndiyo Iyasus Mo a Ndiyo

Users also searched:

...